WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI WIZARA YA MADINI WATAKIWA KUEPUSHA HOJA ZA MANUNUZI

WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI WIZARA YA MADINI WATAKIWA KUEPUSHA HOJA ZA MANUNUZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI WIZARA YA MADINI WATAKIWA KUEPUSHA HOJA ZA MANUNUZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI WIZARA YA MADINI WATAKIWA KUEPUSHA HOJA ZA MANUNUZI
kiungo : WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI WIZARA YA MADINI WATAKIWA KUEPUSHA HOJA ZA MANUNUZI

soma pia


WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI WIZARA YA MADINI WATAKIWA KUEPUSHA HOJA ZA MANUNUZI



Na Asteria Muhozya, Morogoro

Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo amewataka Wajumbe wa Bodi ya Zabuni Wizara ya Madini kuhakikisha kwamba wizara hiyo haipati hoja kutokana na kukikukwa kwa taratibu za manunuzi baada ya wajumbe hao kupatiwa mafunzo kuhusu Sheria na Kanuni za Manunuzi ya Umma.

Pia, wajumbe hao wametakiwa kuhakikisha wanafamu kwa weledi Sheria na Kanuni za manunuzi ili waweze kutoa maamuzi sahihi.

Naibu Waziri Nyongo aliyasema hayo wakati akifunga mafunzo ya Wajumbe wa Wizara hiyo yaliyofanyika katika ofisi za Madini Mkoa Morogoro tarehe 21 Septemba,2018.

Naibu Waziri Nyongo alisema hitaji la kuwapatia mafunzo wajumbe hao linafuatia upya wa wizara hiyo ikiwemo wajumbe wa bodi hiyo ambao wengine wametoka katika sekta mbalimbali hivyo mafunzo hayo yatakuwa chachu ya kuzingatia sheria na kanuni za manunuzi zilizoanishwa.

“Masuala ya manunuzi yanalalamikiwa sana kutokana na ucheleweshaji wa maamuzi. Lakini pia, manunuzi ya umma yamekuwa na matatizo kutokana na kuwepo Mikataba mibovu kwa hiyo baada ya ninyi kupatiwa mafunzo haya, sitarajii vitu kama hivi kujitokeza. Pia, Naibu Waziri Nyongo aliwataka wajumbe wa bodi kuhakikisha kuwa, mafunzo waliyoyapata yanawasaidia kuepukana na vitendo vya rushwa wakati wa kusimamia shughuli za manunuzi ya wizara.

Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akikabidhi Vyeti vya Kuhitimu Mafunzo ya masuala ya Manunuzi kwa Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Zabuni Wizara ya Madini wakikabidhi 
Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akikabidhi Vyeti vya Kuhitimu Mafunzo ya masuala ya Manunuzi kwa Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Zabuni Wizara ya Madini wakikabidhi 
Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo akikabidhi Vyeti vya Kuhitimu Mafunzo ya masuala ya Manunuzi kwa Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Zabuni Wizara ya Madini wakikabidhi 



Hivyo makala WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI WIZARA YA MADINI WATAKIWA KUEPUSHA HOJA ZA MANUNUZI

yaani makala yote WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI WIZARA YA MADINI WATAKIWA KUEPUSHA HOJA ZA MANUNUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI WIZARA YA MADINI WATAKIWA KUEPUSHA HOJA ZA MANUNUZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/wajumbe-wa-bodi-ya-zabuni-wizara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAJUMBE WA BODI YA ZABUNI WIZARA YA MADINI WATAKIWA KUEPUSHA HOJA ZA MANUNUZI"

Post a Comment