MKUU WA MKOA WA SONGWE AWASIHI WANANCHI KUJITOKEZA KUPIMA AFYA ZAO

MKUU WA MKOA WA SONGWE AWASIHI WANANCHI KUJITOKEZA KUPIMA AFYA ZAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA MKOA WA SONGWE AWASIHI WANANCHI KUJITOKEZA KUPIMA AFYA ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA MKOA WA SONGWE AWASIHI WANANCHI KUJITOKEZA KUPIMA AFYA ZAO
kiungo : MKUU WA MKOA WA SONGWE AWASIHI WANANCHI KUJITOKEZA KUPIMA AFYA ZAO

soma pia


MKUU WA MKOA WA SONGWE AWASIHI WANANCHI KUJITOKEZA KUPIMA AFYA ZAO

Mkuu wa mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela anaawalika wananchi wote katika uzinduzi wa Kampeni ya kitaifa ya kupima VVU na kuanza kutumia ARV ijulikanayo kama "Furaha yangu Pima, Jitambue, Ishi, itakayofanyika kuanza Jumamosi tarehe 29 Septemba 2018, katika eneo la Shule ya Sekondari Nalyelye, Mji ndogo wa Mlowo mkoani Songwe..

Kampeni hii inaendeshwa na mkoa wa Songwe kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia mpango wa kitaifa wa kudhibiti UKIMWI NACP Kwa kushirikiana na shirika la MHRP - HJRMRI.

Kampeni inalenga kuhamasisha wananchi hususan wanaume kupima afya zao. Kwa sasa huduma za upimaji wa afya zinatolewa bure katika iliwa ni upimaji wa VVU, presha, kisukari, uzito na uchangiaji wa damu wa hiyari.

Wote mnakaribishwa.


Hivyo makala MKUU WA MKOA WA SONGWE AWASIHI WANANCHI KUJITOKEZA KUPIMA AFYA ZAO

yaani makala yote MKUU WA MKOA WA SONGWE AWASIHI WANANCHI KUJITOKEZA KUPIMA AFYA ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA SONGWE AWASIHI WANANCHI KUJITOKEZA KUPIMA AFYA ZAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mkuu-wa-mkoa-wa-songwe-awasihi-wananchi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA MKOA WA SONGWE AWASIHI WANANCHI KUJITOKEZA KUPIMA AFYA ZAO"

Post a Comment