DOKTA MPANGO AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI 2018/2019

DOKTA MPANGO AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI 2018/2019 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DOKTA MPANGO AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI 2018/2019, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DOKTA MPANGO AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI 2018/2019
kiungo : DOKTA MPANGO AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI 2018/2019

soma pia


DOKTA MPANGO AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI 2018/2019

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango  (Mb)   akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/2019 Bungeni Dodoma.
Baadhi ya Wabunge wakifuatilia kwa makini mawasilisho ya Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/2019 Bungeni Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) baada ya kuwasilishwa kwa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/2019 Bungeni Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango  (Mb)  (katikati) akisikiliza jambo kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mhe. Jitu Soni, nje ya Bunge baada ya mawasilisho ya Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2018/2019 Bungeni Dodoma.


Hivyo makala DOKTA MPANGO AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI 2018/2019

yaani makala yote DOKTA MPANGO AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI 2018/2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DOKTA MPANGO AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI 2018/2019 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/dokta-mpango-akiwasilisha-mapendekezo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DOKTA MPANGO AKIWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI 2018/2019"

Post a Comment