Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu

Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu
kiungo : Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu

soma pia


Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu

Kipruto anasema kuwa alipata motisha zaidi baada ya kupoteza kiatu ili kushinda mbio hizo.
Mwanariadha wa Kenyan Conseslus Kipruto alikaidi pigo la kupoiteza kiatu mapema ili kuibuka mshindi wa mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji katika ligi ya almasi ya IAAF Diamond League mjini Zurich, nchini Switzerland.
Baada ya kupiga kona moja ya uwanja kiatu chake cha kushoto kilitoka lakini hilo halikumzuia .
'' Ilikuwa kisirani .Lakini nilipata motisha ya kupigana zaidi ili niendelee vyema'', alisema baadaye.
Kipruto ndio bingwa wa Olimpiki na na wadunia katika mbio za kuruka viunzi na maji. Alimpita Soufiane El Bakkali katika mita za mwisho baada ya kuruka kiunzi cha mwisho akiwa wa pili.
''Nimepata jeraha kwa sababu nilipoteza kiatu changu, alisema baada ya kukamilisha mbio hizo''.
Baadaye alituma ujumbe wa twitter:
Ilikuwa vigumu na uchungu kukimbia bila viatu, lakini nilikuwa na moyo wa ujasiri ya kutokubali kushindwa , mashabiki walikuwa wazuri na nikaamua kuendelea ili kushinda.
Kipruto aruka kiunzi cha mwisho na Soufiane El Bakkali wa Morocco.
Baada ya mbio hizo mwanariadha huyo wa Kenya aliguchia na kuondoka katika uwanja akiwapungia mkono mashabiki.
Wakenya katika mitandao ya kijamii ikiwemo naibu rais William Ruto wamekuwa wakimpongeza Kipruto kwa ushindi huo.


Hivyo makala Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu

yaani makala yote Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mkenya-kipruto-ashinda-mbio-za-mita.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mkenya Kipruto ashinda mbio za mita 3000 baada ya kupoteza kiatu"

Post a Comment