CHINA KUTOA DOLA BIL. 60 KWA MAENDELEO YA AFRIKA

CHINA KUTOA DOLA BIL. 60 KWA MAENDELEO YA AFRIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHINA KUTOA DOLA BIL. 60 KWA MAENDELEO YA AFRIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHINA KUTOA DOLA BIL. 60 KWA MAENDELEO YA AFRIKA
kiungo : CHINA KUTOA DOLA BIL. 60 KWA MAENDELEO YA AFRIKA

soma pia


CHINA KUTOA DOLA BIL. 60 KWA MAENDELEO YA AFRIKA



RAIS wa China, Xi Jinpingamesema China itatoa jumla ya dola bilioni 60 za Marekani kwenye mpango wake wa miaka mitatu ya ushirikiano na Afrika katika shughuli za maendeleo.

Ameyasema hayo leo (Jumatatu, Septemba 03 ,2018) wakati akifungua Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unaofanyika jijini Beijing nchini China.

Rais Jinping ameahidi kuwa nchi yake itatoa ushirikiano ili kuhakikisha kwamba amani ya kudumu inapatikana Barani Afrika, hatua ambayo ni muhimu kwa ustawi wa nchi za Afrika.

Maeneo mengine ambayo Rais huyo ameahidi kuwa China italisaidia Bara la Afrika ni pamoja na ujenzi wa miundombinu, ushirikiano katika sekta ya biashara  na huduma za afya.

Kadhalika, Rais Jinping amesema China itatoa nafasi za mafunzo ya kilimo bora na mafunzo ya ufundi kwa watalaam kutoka nchi za  Afrika ili kuchangia katika maendeleo ya uchumi. 

Amesema hivi sasa anaamini kwamba China na nchi za Bara la Afrika wako karibu zaidi na wanashirikiana vizuri sana katika shughuli za kimaendeleo ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

Mkutano huo  ulianza kwa sherehe ya ukaribisho na baadae viongozi  kutoka nchi mbalimbali barani Afrika na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antyonio Geterres walipata fursa ya kupiga picha ya pamoja na mwenyeji wao Rais wa China. 

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa ambaye anamuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mkutano huo alisalimiana na Rais Jinping baada ya ufunguzi. Mkutano huo utaendelea kesho ambapo viongozi wengi kutoka Bara la Afrika watapata nafasi ya kuzungumza.


 (mwisho)

IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMATATU, SEPTEMBA 03, 2018.


Hivyo makala CHINA KUTOA DOLA BIL. 60 KWA MAENDELEO YA AFRIKA

yaani makala yote CHINA KUTOA DOLA BIL. 60 KWA MAENDELEO YA AFRIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHINA KUTOA DOLA BIL. 60 KWA MAENDELEO YA AFRIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/china-kutoa-dola-bil-60-kwa-maendeleo_3.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CHINA KUTOA DOLA BIL. 60 KWA MAENDELEO YA AFRIKA"

Post a Comment