DC MURO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UJENZI WA MADARASA KATA YA BWAWANI,ARUMERU

DC MURO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UJENZI WA MADARASA KATA YA BWAWANI,ARUMERU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MURO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UJENZI WA MADARASA KATA YA BWAWANI,ARUMERU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MURO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UJENZI WA MADARASA KATA YA BWAWANI,ARUMERU
kiungo : DC MURO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UJENZI WA MADARASA KATA YA BWAWANI,ARUMERU

soma pia


DC MURO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UJENZI WA MADARASA KATA YA BWAWANI,ARUMERU

Mkuu Wa wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Muro amendelea na ziara yake ya kukagua ujenzi wa madarasa kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza katika kata ya Bwawani.

Dc Muro akiwa katika ziara hiyo ameeleza kuwa wanafunzi zaidi ya 245 mpaka sasa wote waliopangwa kuingia kidato cha kwanza mwaka 2019 katika shule ya Sekondari Bwawani wamepata nafasi ya  kuendelea na masomo yao bila hata mmoja wao kukosa.

Ziara  ya Mkuu wa wilaya  Ndugu Jerry Muro imelenga kufahamu upatikanaji wa Elimu bora  kwa wanafunzi waliochaguliwa kidato cha kwanza kwa mwaka huu.

Pia Dc Muro amewapongeza wananchi wa kata ya bwawani kwa jitihada zao kuweza kujenga madarasa mawili kwa kipindi cha muda mfupi na kuanzia wiki ijayo wanafunzi wataanza kutumia madarasa hayo.

Sambamba na hapo Mkuu wa Wilaya hiyo ametoa wito kwa wananchi wote na wadau  mbalimbali wa maendeleo Wilayani Arumeru kuendelea kuchangia ujenzi wa madarasa pasipo kuvunjwa moyo na Baadhi ya wanasiasa wanaojaribu kuhujumu zoezi la ujenzi wa madarasa.
 Mkuu Wa wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Muro akitoa maelekezo kwa watendaji,wakati wa ziara yake ya kukagua ujenzi wa madarasa kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza katika kata ya Bwawani.
 Mkuu Wa wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Muro akikagua ujenzi wa madarasa kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza katika kata ya Bwawani.



Hivyo makala DC MURO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UJENZI WA MADARASA KATA YA BWAWANI,ARUMERU

yaani makala yote DC MURO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UJENZI WA MADARASA KATA YA BWAWANI,ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MURO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UJENZI WA MADARASA KATA YA BWAWANI,ARUMERU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/dc-muro-afanya-ziara-ya-ukaguzi-ujenzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MURO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UJENZI WA MADARASA KATA YA BWAWANI,ARUMERU"

Post a Comment