title : MENEJA WA BENDI YA VIJANA JAZZ AFIWA NA BIBI YAKE
kiungo : MENEJA WA BENDI YA VIJANA JAZZ AFIWA NA BIBI YAKE
MENEJA WA BENDI YA VIJANA JAZZ AFIWA NA BIBI YAKE
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa (MCC) comrade Kheri James (kulia) akizungumza jambo na Meneja wa Bendi ya Vijana Jazz ya CCM, Comrade James Rock Mwakibinga leo wakati alipofika kwenye Msiba wa Bibi Paulina Mwita ambaye ni Bibi yake na James Rock Mwakibinga, uliotokea leo Kawe Ukwamani, jijini Dar es salaam. Mazishi ya Bibi Paulina Mwita yatafanyika Siku ya Alhamisi Tarehe 13/9 Saa 6 Mchana Baada ya kuaga Makaburi ya Kinondoni FM
Hivyo makala MENEJA WA BENDI YA VIJANA JAZZ AFIWA NA BIBI YAKE
yaani makala yote MENEJA WA BENDI YA VIJANA JAZZ AFIWA NA BIBI YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MENEJA WA BENDI YA VIJANA JAZZ AFIWA NA BIBI YAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/meneja-wa-bendi-ya-vijana-jazz-afiwa-na.html
0 Response to "MENEJA WA BENDI YA VIJANA JAZZ AFIWA NA BIBI YAKE"
Post a Comment