KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) ZANZIBAR

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) ZANZIBAR
kiungo : KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) ZANZIBAR

soma pia


KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) ZANZIBAR



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiendesha Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kichofanyika Leo katika ukumbi wa CCM Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 23/09/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiteta na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Samia Suluhu Hassan wakati wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiendesha Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kichofanyika Leo katika ukumbi wa CCM Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja,(kulia)Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Sadala na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Samia Suluhu Hassan (kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kichofanyika Leo katika ukumbi wa CCM Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja,wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka Wananchi waliofariki katika ajali ya Meli MV Nyerere huko Mwanza,ilioyotokea tr 20 mwezi huu, (kushoto).


Hivyo makala KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) ZANZIBAR

yaani makala yote KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kikao-cha-kamati-maalum-ya-halmashauri.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) ZANZIBAR"

Post a Comment