title : SERIKALI YASHIRIKIANA NA WADAU KUBORESHA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA ZA KIUTUMISHI NA MISHAHARA (HCMIS) ILI UWE NA TIJA KIUTENDAJI
kiungo : SERIKALI YASHIRIKIANA NA WADAU KUBORESHA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA ZA KIUTUMISHI NA MISHAHARA (HCMIS) ILI UWE NA TIJA KIUTENDAJI
SERIKALI YASHIRIKIANA NA WADAU KUBORESHA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA ZA KIUTUMISHI NA MISHAHARA (HCMIS) ILI UWE NA TIJA KIUTENDAJI
Mwambawahabari
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akiwasilisha Taarifa ya Maboresho ya Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mshahara Serikalini (HCMIS) kwenye Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akisikiliza hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa mara baada ya kuwasilisha Taarifa ya Maboresho ya Mfumo wa Taarifa za Kiutumishi na Mshahara Serikalini (HCMIS) kwa wajumbe wa kamati hiyo.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi kwenye Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa.
………………
Hivyo makala SERIKALI YASHIRIKIANA NA WADAU KUBORESHA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA ZA KIUTUMISHI NA MISHAHARA (HCMIS) ILI UWE NA TIJA KIUTENDAJI
yaani makala yote SERIKALI YASHIRIKIANA NA WADAU KUBORESHA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA ZA KIUTUMISHI NA MISHAHARA (HCMIS) ILI UWE NA TIJA KIUTENDAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YASHIRIKIANA NA WADAU KUBORESHA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA ZA KIUTUMISHI NA MISHAHARA (HCMIS) ILI UWE NA TIJA KIUTENDAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/serikali-yashirikiana-na-wadau.html
0 Response to "SERIKALI YASHIRIKIANA NA WADAU KUBORESHA MFUMO SHIRIKISHI WA TAARIFA ZA KIUTUMISHI NA MISHAHARA (HCMIS) ILI UWE NA TIJA KIUTENDAJI"
Post a Comment