title : HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA WA NGOMA AFRICA BAND..
kiungo : HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA WA NGOMA AFRICA BAND..
HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA WA NGOMA AFRICA BAND..
LEO 19 SEPTEMBER 19.SIKU YA KUZALIWA KAMANDA RAS MAKUNJA..
Siku kama ya leo 19 Septemba ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja a.k.a kamanda Ras Makunja a.k.a mkuu wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Aliens" alizaliwa mjini Dar-es-Salaam, akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja).
Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja mtunzi na mwimbaji mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday !!!!! yake.

pia unaweza kuburudika na kusherekea naye katika kambi yao FFU-Ughaibuni at www.reverbnation.com/ngomaafricaband
Hivyo makala HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA WA NGOMA AFRICA BAND..
yaani makala yote HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA WA NGOMA AFRICA BAND.. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA WA NGOMA AFRICA BAND.. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/happy-birthday-kamanda-ras-makunja-wa.html
0 Response to "HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA WA NGOMA AFRICA BAND.."
Post a Comment