JAFO AWATAKA WATENDAJI WA MANISPAA ZA DAR ES SALAAM KUONGEZA KASI YA UTENDAJI

JAFO AWATAKA WATENDAJI WA MANISPAA ZA DAR ES SALAAM KUONGEZA KASI YA UTENDAJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO AWATAKA WATENDAJI WA MANISPAA ZA DAR ES SALAAM KUONGEZA KASI YA UTENDAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO AWATAKA WATENDAJI WA MANISPAA ZA DAR ES SALAAM KUONGEZA KASI YA UTENDAJI
kiungo : JAFO AWATAKA WATENDAJI WA MANISPAA ZA DAR ES SALAAM KUONGEZA KASI YA UTENDAJI

soma pia


JAFO AWATAKA WATENDAJI WA MANISPAA ZA DAR ES SALAAM KUONGEZA KASI YA UTENDAJI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paulo Makonda na Mkuu wa wilaya Kigamboni Sara Msafiri kwenye ukaguzi wa miradi ya maendeleo Kigamboni.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amewataka watendaji wote wa Manispaa za Mkoa wa Dar es salaam kuongeza kasi ya utekelezaji wa Miradi ya maendeleo kwenye maeneo yao. 

Waziri Jafo ameyasema hayo leo alipokuwa katika ziara ya kikazi kukagua miradi ya maendeleo inayo tekelezwa na serikali katika Manispaa hiyo. 

Katika ziara yake leo ametembelea Manispaa ya Kigamboni na kukagua ujenzi wa Ofisi za Manispaa hiyo pamoja na ujenzi wa Kituo cha afya Kimbiji. 

Katika miradi hiyo, Waziri Jafo hakufurahishwa na kasi ya ujenzi wa Miradi hiyo ya maendeleo huku akiagiza ujenzi wa Ofisi za Manispaa ukamilike kabla mwezi Januari mwaka 2019 ili waondokane na tatizo la kupanga kwenye nyumba ya mtu binafsi. 

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paulo Makonda amemuahidi Waziri Jafo kwamba wao kama mkoa wamejipanga kutekeleza maagizo yote na kuwataka watumishi wote wa mkoa huo kubadili utendaji kazi wao ili kutekeleza kwa wakati miradi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akiwa na viongozi mbalimbali.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akitoa maelekezo baada ya kukagua miradi ya maendeleo Kigamboni.
Viongozi wakikagua kituo cha Afya Kimbiji.
Viongozi wakikagua ujenzi wa jengo la Ofisi za Manispaa ya Kigamboni.


Hivyo makala JAFO AWATAKA WATENDAJI WA MANISPAA ZA DAR ES SALAAM KUONGEZA KASI YA UTENDAJI

yaani makala yote JAFO AWATAKA WATENDAJI WA MANISPAA ZA DAR ES SALAAM KUONGEZA KASI YA UTENDAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AWATAKA WATENDAJI WA MANISPAA ZA DAR ES SALAAM KUONGEZA KASI YA UTENDAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/jafo-awataka-watendaji-wa-manispaa-za.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JAFO AWATAKA WATENDAJI WA MANISPAA ZA DAR ES SALAAM KUONGEZA KASI YA UTENDAJI"

Post a Comment