title : TANTRADE WAIBUKA WASHINDI WA TATU MAONESHO YA KILIMO KITAIFA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU
kiungo : TANTRADE WAIBUKA WASHINDI WA TATU MAONESHO YA KILIMO KITAIFA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU
TANTRADE WAIBUKA WASHINDI WA TATU MAONESHO YA KILIMO KITAIFA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa akimkabidhi Cheti Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE Bw. Edwin Rutageruka baada ya Banda la TanTrade "Business Clinic" kuibuka Mshindi wa Tatu kwenye Maonesho ya Kilimo Kitaifa (Nane Nane 2018) yaliyofanyika Mjini Bariadi Mkoani Simiyu. Banda hilo lilizijumuisha Taasisi za Udhibiti za Serikali kwa lengo la kutatua changamoto za Wakulima, Wavuvi, Wafugaji na Wafanyabiashara waliotembelea Maonesho hayo yaliyovutia Wananchi wengi.
Hivyo makala TANTRADE WAIBUKA WASHINDI WA TATU MAONESHO YA KILIMO KITAIFA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU
yaani makala yote TANTRADE WAIBUKA WASHINDI WA TATU MAONESHO YA KILIMO KITAIFA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANTRADE WAIBUKA WASHINDI WA TATU MAONESHO YA KILIMO KITAIFA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/tantrade-waibuka-washindi-wa-tatu.html
0 Response to "TANTRADE WAIBUKA WASHINDI WA TATU MAONESHO YA KILIMO KITAIFA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU"
Post a Comment