title : DKT. JINGU APOKEA OFISI KUTOKA KWA MTANGULIZI WAKE SIHABA NKINGA
kiungo : DKT. JINGU APOKEA OFISI KUTOKA KWA MTANGULIZI WAKE SIHABA NKINGA
DKT. JINGU APOKEA OFISI KUTOKA KWA MTANGULIZI WAKE SIHABA NKINGA
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. John Jingu (kushoto) akipokea nyaraka za Ofisi kutoka kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Sihaba Nkinga(kulia) katika Ofisi za Wizara mara baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo katika Ikulu ya Chamwino Dodoma jana.
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. John Jingu (kushoto) na aliyekuwa Katibu Mkuu Sihaba Nkinga(kulia) wakijadiliana jambo baada ya kukabidhiana Ofisi mara baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo katika Ikulu ya Chamwino Dodoma jana.
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. John Jingu (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu Sihaba Nkinga (kulia) baada ya kukabidhiana Ofisi mara baada ya kuapishwa kushika nafasi hiyo katika Ikulu ya Chamwino Dodoma jana. Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW
Hivyo makala DKT. JINGU APOKEA OFISI KUTOKA KWA MTANGULIZI WAKE SIHABA NKINGA
yaani makala yote DKT. JINGU APOKEA OFISI KUTOKA KWA MTANGULIZI WAKE SIHABA NKINGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. JINGU APOKEA OFISI KUTOKA KWA MTANGULIZI WAKE SIHABA NKINGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dkt-jingu-apokea-ofisi-kutoka-kwa.html
0 Response to "DKT. JINGU APOKEA OFISI KUTOKA KWA MTANGULIZI WAKE SIHABA NKINGA"
Post a Comment