DC KIGAMBONI AENDELEZA MSAKO WA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WAKE

DC KIGAMBONI AENDELEZA MSAKO WA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC KIGAMBONI AENDELEZA MSAKO WA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC KIGAMBONI AENDELEZA MSAKO WA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WAKE
kiungo : DC KIGAMBONI AENDELEZA MSAKO WA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WAKE

soma pia


DC KIGAMBONI AENDELEZA MSAKO WA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WAKE



Mwambawahabari
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni mheshimiwa Sarah Msafiri amefanya ziara yake ya pili katika Kata ya Kimbiji na kupata fursa ya  kutembelea Kiwanda kinachozalisha sajuri cha Nyati Cement ili kufahamu changamoto za uendeshaji wa kiwanda hicho pamoja na maendeleo.


Akizungumza na Mkurugezi wa kiwanda cha Nyati Cement......, Mh. Sara amepata kutambua kuwa barabara ndiyo  changamoto kubwa ambayo imekuwa kikwazo katika uzalishaji wa bidhaa za kiwanda hicho, hivyo DC amewahakikishia kuwa atalifanyia ufumbuzi suala hilo kwa kuanza mazungumzo na mawakala wa barabara TANROADS na TARURA ndani ya wiki hii.


Kwa upande mwingine  DC Sara alifika katika shule ya Sekondari Kimbiji kwa ajili ya kukutana na viongozi, wawekezaji na wananchi mbalimbali wa kata hiyo kwa lengo la kujuana nao na kufahamu taarifa za kimaendeleo na changamoto zilizopo katika kata hiyo.


Hata hivyo Wananchi  wamepata kueleza changamoto mbalimbali zinazoendelea kuwakabili katika eneo lao husika ikiwemo mgogoro wa ardhi uliopo baina ya wananchi na muwekezaji katika kiwanja cha mpira ambacho kinajulikana kuwa kipo chini ya kata ya Kimbiji lakini kuna mwekezaji  akijimilikisha kuwa ni cha kwake.


 Hatahivyo bado kumekuwa na sintofahamu katika mgogoro huo ya kuwa nani ameshinda kesi licha ya mahakama kutoa hukumu kuwa kiwanja hicho ni cha wananchi, hivyo DC ameomba suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kisheria pamoja na muwekezaji huyo kusimamisha shughuli zake za Kilimo alizozianzisha  ili kupisha uchunguzi.


Vilevile amewataka amewataka vijana kuacha kucheza michezo ya bahati nasibu na kufanya kazi na kujiunga katika vikundi mbalimbali vyenye maendeleo.


Hivyo makala DC KIGAMBONI AENDELEZA MSAKO WA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WAKE

yaani makala yote DC KIGAMBONI AENDELEZA MSAKO WA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC KIGAMBONI AENDELEZA MSAKO WA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dc-kigamboni-aendeleza-msako-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC KIGAMBONI AENDELEZA MSAKO WA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WAKE"

Post a Comment