title : BREAKING NEWS: WAANDISHI WAGOMEWA KUCHUKUA MATUKIO KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA WEMA SEPETU
kiungo : BREAKING NEWS: WAANDISHI WAGOMEWA KUCHUKUA MATUKIO KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA WEMA SEPETU
BREAKING NEWS: WAANDISHI WAGOMEWA KUCHUKUA MATUKIO KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA WEMA SEPETU
Na Khadija Seif, Globu ya Jamii
Waandishi wa habari jioni hii wagomewa kuingia ndani Kwenye hafla ya uzinduzi wa filamu ya D.A.D ya Msanii wa kibongo nchini wema sepetu maarufu kamaambayo amemshirikisha msanii kutoka nchi ya Ghana Van Vicker.
Akizungumza nje ya ukumbi Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema shughuli hiyo ilishanunuliwa na moja ya chombo cha habari hapa nchini ambao wana mamlaka yote ya kurusha kwa matangazo ya moja kwa moja na kupiga Picha zote.
Mmoja wa wanahabari akiongea na Michuzi TV ameeleza kuwa ni vibaya kwani mpaka kuweza kuingia ndani ni lazima kulipa Dola elfu 20 .
Hivyo basi kitendo hiko kilichofanywa na waandaji wa shughuli hiyo kimewanyima nafasi wanahabari ,na sio la haki kwani mpaka alipofikia nguvu nyingi zimetokana na kushirikiana na wanahabari.
Kitendo hiko kinaweza kuibua matabaka,pamoja na chuki kutokana na ubaguzi huo uliofanyika katika hafla hiyo na watu kutafsiri vibaya kuwa imeonekana chombo hicho kuwa bora kuliko vingine.
Van Vicker aliwasii nchini jana kwa ajili ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyofanywa miaka mitatu iliyopita.
Hivyo makala BREAKING NEWS: WAANDISHI WAGOMEWA KUCHUKUA MATUKIO KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA WEMA SEPETU
yaani makala yote BREAKING NEWS: WAANDISHI WAGOMEWA KUCHUKUA MATUKIO KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA WEMA SEPETU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS: WAANDISHI WAGOMEWA KUCHUKUA MATUKIO KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA WEMA SEPETU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/breaking-news-waandishi-wagomewa.html
0 Response to "BREAKING NEWS: WAANDISHI WAGOMEWA KUCHUKUA MATUKIO KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA WEMA SEPETU"
Post a Comment