BODI YA USAJIRI YAWAHANDISI WASHEREKEA MIAKA 50 YA KUANZISHWA KWAKE

BODI YA USAJIRI YAWAHANDISI WASHEREKEA MIAKA 50 YA KUANZISHWA KWAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BODI YA USAJIRI YAWAHANDISI WASHEREKEA MIAKA 50 YA KUANZISHWA KWAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BODI YA USAJIRI YAWAHANDISI WASHEREKEA MIAKA 50 YA KUANZISHWA KWAKE
kiungo : BODI YA USAJIRI YAWAHANDISI WASHEREKEA MIAKA 50 YA KUANZISHWA KWAKE

soma pia


BODI YA USAJIRI YAWAHANDISI WASHEREKEA MIAKA 50 YA KUANZISHWA KWAKE

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi akizungumza na wahandisi na wakandarasi wakati wa hafla ya kusheherekea miaka 50 ya Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB) tangu ianzishwe mwaka 1968.
Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB), Mhandisi Patrick Barozi (kulia), akitoa utambulisho kwa wahandisi na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kusheherekea miaka 50 ya Bodi hiyo tangu ianzishwe mwaka 1968.
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB), Profesa Ninatubu Lema (kulia) akitoa neon la utangulizi kwa mgeni rasmi wakati wa hafla ya kusheherekea miaka 50 ya Bodi hiyo tangu ianzishwe mwaka 1968.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa akimkaribisha mgeni rasmi, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi kuzungumza na wahandisi na wakandarasi wakati wa hafla ya kusheherekea miaka 50 ya Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB) tangu ianzishwe mwaka 1968.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi akimkabidhi tuzo ya heshima Naibu Balozi wa Norway Tanzania Trygve Bendiksby wakati wa hafla ya kusheherekea miaka 50 ya Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB) tangu ianzishwe mwaka 1968.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi akimkabidhi tuzo ya heshima Mhandisi Milton Nyerere kwa niaba ya familia ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere kwa kutambua mchango Baba wa Taifa katika kuanzishwa kwa Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB) wakati wa hafla ya kusheherekea miaka 50 ya Bodi hiyo tangu ianzishwe mwaka 1968.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (kushoto) akipokea saa toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB), Profesa Ninatubu Lema (kulia) kwa niaba ya Rais John Magufuli wakati wa hafla ya kusheherekea miaka 50 ya Bodi hiyo tangu ianzishwe mwaka 1968.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala BODI YA USAJIRI YAWAHANDISI WASHEREKEA MIAKA 50 YA KUANZISHWA KWAKE

yaani makala yote BODI YA USAJIRI YAWAHANDISI WASHEREKEA MIAKA 50 YA KUANZISHWA KWAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BODI YA USAJIRI YAWAHANDISI WASHEREKEA MIAKA 50 YA KUANZISHWA KWAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/bodi-ya-usajiri-yawahandisi-washerekea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BODI YA USAJIRI YAWAHANDISI WASHEREKEA MIAKA 50 YA KUANZISHWA KWAKE"

Post a Comment