title : TASWIRA MBALIMBALI MARA BAADA YA BUNGE KURIDHIA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI
kiungo : TASWIRA MBALIMBALI MARA BAADA YA BUNGE KURIDHIA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI
TASWIRA MBALIMBALI MARA BAADA YA BUNGE KURIDHIA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI
Watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimpongeza Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (kushoto) Dorothy Mwanyika akimpongeza Naibu Waziri wa Ardhi Dkt. Angeline Mabulla mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (kushoto) Dkt. Moses Kusiluka akimpongeza Naibu Waziri wa Ardhi Dkt. Angeline Mabulla mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19.
Watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakiwapongeza Waziri wa Ardhi na Naibu wake mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19
Baadhi ya watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimpongeza Naibu Waziri wa Ardhi Dkt. Angeline Mabulla mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19.
Baadhi ya Makamishna wa Ardhi wa kanda 8 zilizopo nchi nzima kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (katikati) Dorothy Mwanyika akimpongeza Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo Sh73.07 bilioni kwa ajili ya mwaka 2018/19.
Picha zote na Hassan Mabuye, Wizara ya Ardhi.
Hivyo makala TASWIRA MBALIMBALI MARA BAADA YA BUNGE KURIDHIA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI
yaani makala yote TASWIRA MBALIMBALI MARA BAADA YA BUNGE KURIDHIA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TASWIRA MBALIMBALI MARA BAADA YA BUNGE KURIDHIA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/taswira-mbalimbali-mara-baada-ya-bunge.html
0 Response to "TASWIRA MBALIMBALI MARA BAADA YA BUNGE KURIDHIA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI"
Post a Comment