BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID

BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID
kiungo : BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID

soma pia


BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID

Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane 'Zizzou' mchana wa leo ametangaza kuachia ngazi kama Kocha Mkuu wa Madrid baada yakutwaa mataji matatu mfululizo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA CHAMPIONS LEAGUE).

Zidane (45) alijiunga na Real Madrid mwaka 2014 akianza kukinoa kikosi cha Castilla (Real Madrid B).

Zidane alichukua mikoba ya Rafael Benitez aliyeondoka kwenye Kikosi cha kwanza hapo January 2016 .

Alipata mafanikio na Real Madrid kwa mara ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuiondoa Atletico Madrid kwenye Fainali ya Michuano hiyo barani Ulaya, alipatetea Kombe hilo mwaka unaofuata na kuweka historia mpaka sasa licha yakukosa taji la La Liga msimu wa 2017-2018.



Hivyo makala BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID

yaani makala yote BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/breaking-news-zinedine-zidane-aachia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID"

Post a Comment