BEN POL AACHIA NGOMA MPYA YA NTALA NAWE AKIMSHIRIKISHA MSANII KUTOKA KENYA

BEN POL AACHIA NGOMA MPYA YA NTALA NAWE AKIMSHIRIKISHA MSANII KUTOKA KENYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BEN POL AACHIA NGOMA MPYA YA NTALA NAWE AKIMSHIRIKISHA MSANII KUTOKA KENYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BEN POL AACHIA NGOMA MPYA YA NTALA NAWE AKIMSHIRIKISHA MSANII KUTOKA KENYA
kiungo : BEN POL AACHIA NGOMA MPYA YA NTALA NAWE AKIMSHIRIKISHA MSANII KUTOKA KENYA

soma pia


BEN POL AACHIA NGOMA MPYA YA NTALA NAWE AKIMSHIRIKISHA MSANII KUTOKA KENYA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
MSANII wa Muziki wa Kizazi kipya nchini Bernard Paul 'Ben Pol' ameachia wimbo mpya unaoitwa Ntala Nawe ukiwa  umetengenezwa nchini Kenya chini ya mtayarishaji Cedo. 

 Akizungumza Dar es Salaam, Ben Pol alisema kuwa wimbo huo umetoka kwa Audio na Video ambayo imefanywa hapa nchini na mtayarishaji Hanscana, huku msanii wa filamu Monalisa akiwa muongozaji wake.

 Alisema kuwa tayari Ntala nawe imeshaingia mtaani kwa kusambaza katika vituo mbali mbali vya Televisheni na Radio.

"Mashabiki wangu nimekuja tena na wimbo mpya unaitwa Ntala Nawe naamini mnaoupokea na kuupenda kama nyingine zilizopita, tayari upo YouTube kwa wale wanaopenda kuangalia video na kusikiliza"alisema Ben Pol.. 

 Alisema katika wimbo huo amemshirikisha Cedo kutoka nchini Kenya,  na kwa sasa Ben Pol amekuwa akitamba kwa nyimbo mbalimbali ikiwepo Sofia, Phone, Samboira, Lau nipe nafasi, Gusa na Bado Kidogo pamoja na wimbo wa Amen alioshirikiana na mwanadada Maua Sama.




Hivyo makala BEN POL AACHIA NGOMA MPYA YA NTALA NAWE AKIMSHIRIKISHA MSANII KUTOKA KENYA

yaani makala yote BEN POL AACHIA NGOMA MPYA YA NTALA NAWE AKIMSHIRIKISHA MSANII KUTOKA KENYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BEN POL AACHIA NGOMA MPYA YA NTALA NAWE AKIMSHIRIKISHA MSANII KUTOKA KENYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/ben-pol-aachia-ngoma-mpya-ya-ntala-nawe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BEN POL AACHIA NGOMA MPYA YA NTALA NAWE AKIMSHIRIKISHA MSANII KUTOKA KENYA"

Post a Comment