title : Balozi Amina Azungumza na Vijana wa Mabaraza la Vijana Kisiwani Pemba.
kiungo : Balozi Amina Azungumza na Vijana wa Mabaraza la Vijana Kisiwani Pemba.
Balozi Amina Azungumza na Vijana wa Mabaraza la Vijana Kisiwani Pemba.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Salum Ali,akizungumza na mabaraza ya Vijana ya Wilaya Kisiwani Pemba , katika mkutano wa kuwahamsisha kuingia katika mpango wa Kilimo Biashara ulianzishwa na Serikali na kupewa jukumu Wizara ya Biashara iweze kusimamia.
Wenyeviti wa Mabaraza ya Vijana Wilaya ya Chake Chake , Mkoani na Wete,wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Biashara juu ya mpango wa Serikali kuanzisha Kilimo Biashara kwa mabaraza ya Vijana huko katika ukumbi wakiwanda cha mafuta ya Makonyo Wawi Pemba.
Hivyo makala Balozi Amina Azungumza na Vijana wa Mabaraza la Vijana Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Balozi Amina Azungumza na Vijana wa Mabaraza la Vijana Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Amina Azungumza na Vijana wa Mabaraza la Vijana Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/balozi-amina-azungumza-na-vijana-wa.html
0 Response to "Balozi Amina Azungumza na Vijana wa Mabaraza la Vijana Kisiwani Pemba."
Post a Comment