title : Rais Dkt Magufuli azinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo
kiungo : Rais Dkt Magufuli azinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo
Rais Dkt Magufuli azinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe
kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi yaGlobal Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua ghala ya dawa
kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.
Sehemu ya magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) yaliyozinduliwa jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison akijaribu moja ya magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua sehemu ya magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini Dar es salaam leo Machi 26, 2018.Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global
Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo
PALE WAPIGA PICHA WANAPOPIGWA PICHA - Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari
wakiupiga picha msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiwa na Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison (chini kushoto) na viongozi wengine wakati
wakielekea kukagua magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini
Dar es salaam leo Machi 26, 2018.
Hivyo makala Rais Dkt Magufuli azinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo
yaani makala yote Rais Dkt Magufuli azinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dkt Magufuli azinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rais-dkt-magufuli-azinduzi-wa-magari.html
0 Response to "Rais Dkt Magufuli azinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) jijini Dar es salaam leo"
Post a Comment