BABU MPYA KAMA WA LOLIONDO AIBUKA DAR, APIGA KAMBI SOKO LA FERI

BABU MPYA KAMA WA LOLIONDO AIBUKA DAR, APIGA KAMBI SOKO LA FERI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BABU MPYA KAMA WA LOLIONDO AIBUKA DAR, APIGA KAMBI SOKO LA FERI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BABU MPYA KAMA WA LOLIONDO AIBUKA DAR, APIGA KAMBI SOKO LA FERI
kiungo : BABU MPYA KAMA WA LOLIONDO AIBUKA DAR, APIGA KAMBI SOKO LA FERI

soma pia


BABU MPYA KAMA WA LOLIONDO AIBUKA DAR, APIGA KAMBI SOKO LA FERI

Mganga aliyejulikana kwa jina laYakub akitoa huduma kwa wananchi waliojitokeza kwenye soko la samaki la feri jijini Dar es Salaam leo Septemba 13,2018.
Chupa za maji ya kunywa zikiwa zimechanganywa na dawa ya Mganga Yakub kabla ya kukabidhi kwa wahusika jijini Dar es Salaam leo.

*Unanunua chupa ya maji anachanganya na dawa zake
*Wengine watoa ushuhuda, awekea ulinzi ili asisumbuliwe

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii 
BABU mwingine kama Babu wa Loliondo aibuka Dar! Hivyo ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Mganga wa kienyeji aliyetambulika kwa jina moja la Yakub kuanza kutoa huduma ya kutibu magonjwa mbalimbali ya binadamu kwa kutumia dawa anayoweka kwenye chupa ya maji ya kunywa.

Mganga huo ameanza kujizolea umaarufu na hasa unapofika sokoni hapo ambapo mbali ya kuwa na idadi kubwa ya watu wanaosubiri kupata dawa yake , pia wapo ambao wameitumia na kupona wamekuwa wakitoa ushuhuda kuwa wamepona.

Mwandishi wa Michuzi Blog amepata nafasi ya kushuhudia na kuona namna ambavyo watu wamejazana wakisubiri kupata huduma kutoka kwa mganga huyo.Gharama ya dawa zake ni Sh.3000.

Hata hivyo changamoto kubwa ni namna ya kumfikia hasa kwa mtu ambaye anafika eneo hilo kwa ajili ya kutaka kuzungumza naye .

Wingi wa watu umesababisha mganga huyo kulindwa na askari wa SUMA JKT katika kuhakikisha anakuwa salama wakati wote pindi anapotoa huduma zake.

Kwa mujibu wa watu ambao wamepata nafasi ya kutumia dawa za mganga huyo wamemsifu kwa madai dawa zake zinasaidia kwani wamepona.

Akizungumza leo na Michuzi Blog jijini Dar es Salaam, Said Katuma ambaye ni moja ya watu ambao wanamsaidia mganga huyo katika kutoa huduma zake anasema wameweka utaratibu mzuri utakaohakikisha wote wanaofika hapo wanapata dawa.


Hivyo makala BABU MPYA KAMA WA LOLIONDO AIBUKA DAR, APIGA KAMBI SOKO LA FERI

yaani makala yote BABU MPYA KAMA WA LOLIONDO AIBUKA DAR, APIGA KAMBI SOKO LA FERI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BABU MPYA KAMA WA LOLIONDO AIBUKA DAR, APIGA KAMBI SOKO LA FERI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/babu-mpya-kama-wa-loliondo-aibuka-dar.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BABU MPYA KAMA WA LOLIONDO AIBUKA DAR, APIGA KAMBI SOKO LA FERI"

Post a Comment