title : MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE LEO JIJINI DODOMA
kiungo : MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE LEO JIJINI DODOMA
MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE LEO JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani Msuya alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani Msuya alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. John Mongella alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiongoza majadiliano yenye lengo la kubadilishana uzoefu wa kazi baina ya Makamishna wa Tume ya utumishi wa Bunge dhidi ya Tume ya Baraza la wawakilishi kutoka Zanzibar kikao kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Kikao pia kilihudhuriwa na katibu wa Bunge (hayupo kwenye picha) na Watendaji wakuu kutoka pande hizo mbili
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati mwenye tai ya damu ya mzee) akiwa katika picha ya pamoja na Makamishna wa Tume ya utumishi wa Bunge na Tume ya Baraza la wawakilishi kutoka Zanzibar baada ya kikao cha pamoja kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPAHivyo makala MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE LEO JIJINI DODOMA
yaani makala yote MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE LEO JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE LEO JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/matukio-mbalimbali-ya-spika-wa-bunge.html
0 Response to "MATUKIO MBALIMBALI YA SPIKA WA BUNGE LEO JIJINI DODOMA"
Post a Comment