title : ALLY RICH NA NDOTO YAKE YA NIACHE NICHORE KUBADILISHA MAISHA YA VIJANA WA KITANZANIA
kiungo : ALLY RICH NA NDOTO YAKE YA NIACHE NICHORE KUBADILISHA MAISHA YA VIJANA WA KITANZANIA
ALLY RICH NA NDOTO YAKE YA NIACHE NICHORE KUBADILISHA MAISHA YA VIJANA WA KITANZANIA
Mkurugenzi Mtendaji wa AllyRich Sanaa Arts LTD Aliko Richard akizungumza na wageni mbalimbali na wakazi wa mkoa wa mbeya aliowalika kushuhudia wazo la Ndoto yake ya Niache Nichore katika Ukumbi wa Tughimbe Jijini Mbeya.
Mkurugenzi wa Parick Mission Ndele Mwaselela akizungumza na wadau juu ya umuhimu wa kutumia maharifa tuliyopata kwa faida ya jamii kama alivyofanya Ally Rich.
Mratibu wa Ndoto ya Ally RICH ya Niache Nichore, Mc Mwakyusa akizungumzia kwa upana juu ya umuhimu wa ndoto hiyo katika kizazi kijacho kwenye taaluma ya uchoraji na ubunifu.
Mchoraji Mkongwe mkoani Mbeya , Furaha Mwaibandi akizungumzia uzoefu wake katika uchoraji na umuhimu wa jamii kuthamini Sanaa ya uchoraji.
Mwakilishi wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya , ACP.Hamisi Sungu akizungumza na wadau umuhimu wa michoro katika usalama wa maisha yetu kuanzia Viwandani mpaka Barabarani hivyo aksema ni vyema kila mmoja akatahimini ndoto ya Ally Rich.
Mzee Mwampashi akikabidhi zawadi ya moja ya bidha zitakazotolewa katika programu ya niache nichore kwa wachoraji wa mkoa wa Mbeya.
Wageni Maalum wakionyesha Madaftari ya kuchorea ambayo yanatokana na ndoto ya Niache nichore ya Ally Rich
Afisa Biashara Mkoa wa Mbeya , Stanley Kibakaya akizungumzia umuhimu wa uwekezaji katika Jiji la Mbeya kama alivyofanya Ally Rich.
Sehemu ya wadau walioshiriki katika Mkutano huo wakifatiliakwa makini yanayozungumzwa
Hivyo makala ALLY RICH NA NDOTO YAKE YA NIACHE NICHORE KUBADILISHA MAISHA YA VIJANA WA KITANZANIA
yaani makala yote ALLY RICH NA NDOTO YAKE YA NIACHE NICHORE KUBADILISHA MAISHA YA VIJANA WA KITANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ALLY RICH NA NDOTO YAKE YA NIACHE NICHORE KUBADILISHA MAISHA YA VIJANA WA KITANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/ally-rich-na-ndoto-yake-ya-niache.html
0 Response to "ALLY RICH NA NDOTO YAKE YA NIACHE NICHORE KUBADILISHA MAISHA YA VIJANA WA KITANZANIA"
Post a Comment