GPSA YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUTOA ELIMU BURE KWA KUSAIDIA VIFAA VYA KUFUNDISHIA KWA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI

GPSA YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUTOA ELIMU BURE KWA KUSAIDIA VIFAA VYA KUFUNDISHIA KWA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa GPSA YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUTOA ELIMU BURE KWA KUSAIDIA VIFAA VYA KUFUNDISHIA KWA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : GPSA YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUTOA ELIMU BURE KWA KUSAIDIA VIFAA VYA KUFUNDISHIA KWA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI
kiungo : GPSA YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUTOA ELIMU BURE KWA KUSAIDIA VIFAA VYA KUFUNDISHIA KWA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI

soma pia


GPSA YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUTOA ELIMU BURE KWA KUSAIDIA VIFAA VYA KUFUNDISHIA KWA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI


Na Said Mwishehe, Globu ya jamii

WAKALA wa Huduma ya Ununuzi Serikalini(GPSA)umetoa msaada wa vifaa vya kufundishia kwa shule za msingi na sekondari wenye thamani ya zaidi ya Sh.milioni tisa.

Umefafanua kuwa wanatambua juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk.John Magufuli ya kutoa elimu bure,hivyo wameamua kuunga mkono juhudi hizo kwa vitendo kwa kutoa msaada huo.

Akizungumza leo katika Shule ya Msingi Kilimahewa iliyopo wilayani Temeke jijini Dar es Salaam Kaimu Mtendaji Mkuu wa GPSA Lilian Mwinuka amefafanua utoaji wa msaada huo pia ni sehemu ya kuadhimisha miaka 10 tangu wakala huo ulipoanzishwa. Amefafanua kutokana na kutimiza miaka 10 tangu kuanza kwa wakala huo wameona ipo haja ya kurudisha shukrani kwa jamii na wakaona haja ya kusaidia vifaa vya kufundishia.

"Kwa leo tumekabidhi msaada huo wa vifaa vya kufundishia kwa shule nne za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. Tumekabidhi kwa shule hizi kwa niaba ya shule zote za Dar es Salaam."Nijukumu letu kurudisha fadhila na shukrani zetu kwa jamii na tumeona tutoe vifaa vya kufundishia shuleni. Ni jukumu letu kuunga mkono uamuzi wa Serikali wa kutoa elimu bure,"amesema Mwinuka.

Ametaja baadhi ya msaada ambao wameutoa ni chaki, daftari, ufutio wa ubaoni, kalamu, na vifaa vya kuhifadhia taka. Mwinuka ameongeza baada ya kutoa msaada huo Dar es Salaam watakwenda kutoa msaada kama huo wa vifaa kwa shule zilizopo mkoani Dodoma siku za karibuni. Akizungumzia kuhusu GPSA Mwinuka amesema vifaa ambazo wanauza bei yake iko chini ukilinganisha na maeneo mengine kwasababu wao hawapo kwa ajili ya kupata faida kubwa.

Hivyo amewashauri Watanzania kwenda uununuzi kwao kwani mbali ya unafuu wa gharama pia ziko imara."Bidhaa zetu ni bora na zinapatikana kwa bei nafuu, sababu kubwa sisi tunaagiza moja kwa moja kwa wazalishaji, hivyo bei yetu ni yakawaida,"amesema. Hivyo amewahamiza Watanzania kununua bidhaa zao na kufafanua kauli mbiu yao inasemaje "Okoa fedha za umma kwa kufanya ununuzi kupitia GPSA.

Kwa upande wao baadhi ya walimu kutoka shule ambazo wamepatiwa msaada huo wakiongozwa na Kaimu Ofisa Elimu wa Wilaya Bakari Mnondwa wameahukuru kwa msaada huo. Pia ameomba wadau wengine nao kusaidia sekta ya elimu na kufafanua msaada ambao wameupata umeongezeka chache ya wao kufanyakazi ya kufundishia kwa amri zaidi.

Kuhusu changamoto ambayo wanakabilana kwa Wilaya yake Temeke ni uhaba wa vyumbo vya madarasa 2,162 huku idadi ya wanafunzi wa shule ni 161,313.


.Kaimu Mtendaji Mkuu wa GPSA LIlian Mwinuka akikabihi vifaa kwa Mwalimu wa Shule ya Msingi Karume iliyopo wilayani Temeke jijini Dar es Salaam Hillgaro Lwambusha.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kilimahewa, walimu wa shule nne ambazo zimekabidhiwa msaada huo pamoja na uongozi wa GPSA ukiongozwa na Kaimu Mtendaji wao Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) Lilian Mwinuka(kulia) akizungumza katika Shule ya Msingi Kilimahewa baada ya kukabidhi msaada wa vifaa vya kufundishia kwa shule za msingi wenye thamani ya zaidi ya Sh.Milioni tisa.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa GPSA LIlian Mwinuka (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wengine baada ya kukabidhi msaada wa vifaa vya kufundishia kwa shule za msingi na sekondari ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali za kutoa elimu bure.


Hivyo makala GPSA YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUTOA ELIMU BURE KWA KUSAIDIA VIFAA VYA KUFUNDISHIA KWA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI

yaani makala yote GPSA YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUTOA ELIMU BURE KWA KUSAIDIA VIFAA VYA KUFUNDISHIA KWA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala GPSA YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUTOA ELIMU BURE KWA KUSAIDIA VIFAA VYA KUFUNDISHIA KWA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/gpsa-yaunga-mkono-juhudi-za-kutoa-elimu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "GPSA YAUNGA MKONO JUHUDI ZA KUTOA ELIMU BURE KWA KUSAIDIA VIFAA VYA KUFUNDISHIA KWA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI"

Post a Comment