RAIS SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU

RAIS SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU
kiungo : RAIS SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU

soma pia


RAIS SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisis ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU)  Kamishna wa Polisi  Diwani Athumani (katikati) alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya kuzuia Rushwa na uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Nd,  Mussa Hassan Ali.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna wa Polisi  Diwani Athumani alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na  Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna wa Polisi  Diwani Athumani baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar alipofika kujitambulisha.(Picha na Ikulu).


Hivyo makala RAIS SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU

yaani makala yote RAIS SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-shein-akutana-na-mkurugenzi-mkuu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU TAKUKURU"

Post a Comment