30 WAITWA STARS MKUDE,KAPOMBE,BOCCO NDANI

30 WAITWA STARS MKUDE,KAPOMBE,BOCCO NDANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa 30 WAITWA STARS MKUDE,KAPOMBE,BOCCO NDANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : 30 WAITWA STARS MKUDE,KAPOMBE,BOCCO NDANI
kiungo : 30 WAITWA STARS MKUDE,KAPOMBE,BOCCO NDANI

soma pia


30 WAITWA STARS MKUDE,KAPOMBE,BOCCO NDANI

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa stars', Emmanuel Amunike akizungumza na waandishi wa habari jijni Dar es Salaam leo. katikati kushoto ni Afisa habari habari na mawasiliano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Criford Ndimbo kulia ni Kocha  msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa stars'.

Na Agness Francis,Globu ya jamii.
KATIKA kuelekea mtanange wa kufuzu Afcon 2019  dhidi ya cape Verde Oktoba 12 na 16 mwaka huu,kocha mkuu wa Taifa stars Emanuel Amuike ametangaza rasmi kikosi cha wachezaji 30 watakaoingia kambini.

Wachezaji watakao ikingia kambini itakayoanza septemba 30 mwaka huu ni  walinda Mlango  namba 1 Aishi Manula wa kikosi cha Simba, 2 Beno kakolanya  Yanga pamoja na Mohamed Abdalah wa JKT Tanzania.

Walinzi ni Hassani Kessy (Nkana),Shomari Kapombe (Simba),Salum Kimenya (Prisons),Gadiel Michael (Yanga), Paul Ngalema (Lipuli),Aggrey Morris (Azam),David Mwantika  (Azam),Abdalah Kheri (Azam),Kelvin Yondani (Yanga),Andre Vicent (Yanga) pamoja na Abdi Banda  wa Baroka fc.

Viungo wakiwa ni Himidi Mao (Petro Jet),Simon  Msuva (El Jadida),Mudathir Yahya (Azam),Frank Domayo (Azam),Jonas Mkude (Simba),Feisal Salum   (Yanga),Salum Kihimbwa (Mtibwa sugar) na Farid Mussa wa Tenerife.

Huku washambuliaji wa kikosi hicho atakuwa Mbwana  Samantha (KRC Gank),Tomas Ulimwengu (Al hilal),John Bcco (Simba),Yahya Zayd  (BDFXL),Kelvin Sabah (Mtibwa sugar) na Shaban Iddy Chilunda (TEXARIFE).

Mchezo huo utakaoanza kupigwa nchini Cape Verde  octoba 12 ambapo marudiano yatafanyika Jijini Dar as Salaam  katika uwanja wa taifa tarehe 16 mwezi huo.

Michezo iliopita  Taifa stats walilazimika kutoa sare ya bila kufungana na  timu ya taifa ya  Uganda Uganda the Cranes,vile vile pia walifungana mabao 1-1 dhidi  Lesotho katika dimba la Azam complex Chamazi.

Taifa stars  wakiwa nafasi ya 3  na pointi 2,akifatiwa na Cape Verde wenye alama 1,huku Uganda wakiwa vinara wao  kwa pointi 4 katika  kundi hilo L.

Mashindano hayo ya Afcon yanatarajia kufayika nchini Camerron mwakani.


Hivyo makala 30 WAITWA STARS MKUDE,KAPOMBE,BOCCO NDANI

yaani makala yote 30 WAITWA STARS MKUDE,KAPOMBE,BOCCO NDANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala 30 WAITWA STARS MKUDE,KAPOMBE,BOCCO NDANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/30-waitwa-stars-mkudekapombebocco-ndani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "30 WAITWA STARS MKUDE,KAPOMBE,BOCCO NDANI"

Post a Comment