title : Mafunzo ya Mfumo wa Uhasibu na uandaaji wa taarifa (Epicol 10.2) yanayoendelea mkoani Mwanza
kiungo : Mafunzo ya Mfumo wa Uhasibu na uandaaji wa taarifa (Epicol 10.2) yanayoendelea mkoani Mwanza
Mafunzo ya Mfumo wa Uhasibu na uandaaji wa taarifa (Epicol 10.2) yanayoendelea mkoani Mwanza
Mhasibu Mwezeshaji OR TAMISEMI, Melkizedeki Kimaro, akiwasilisha mada kuhusu mchakato wa Imprest kwakutumia mfumo wa Uhasibu na utoaji wa taarifa wa (Epicol) kwenye ukumbi wa Victoria Palace Jijini Mwanza.
Mmoja ya Wawezeshaji wa mafunzo ya mfumo wa Uhasibu na utoaji wa taarifa (Epicol 10.2) kutoka OR TAMISEMI, Stanslaus Msenga, akiwa anatoa msaada wa kiufundi kwa mmoja ya wahasibu wakati wa mafunzo hayo yanayoendelea kwa siku ya tatu.
Watunza Hazina na Wahasibu kutoka katika Halmashauri za Mikoa ya Mwanza na Simiyu wakiwa wanafatilia kwa ufasaha mafunzo ya Uhasibu na utoaji taari kwa njia ya kieletroniki (Epicol) wakifatilia kwa makini mafunzo hayo.
Kaimu Mweka Hazina wa Halmashauri ya Meatu, Laurent Mguma, akifanya nukuu muhimu za mafunzo hivi leo kuhusu mfumo wa Epicol, kama alivyokutwa na Kamera yetu kwenye ukumbi wa Viktoria Palace.
Washiriki wakiwa makini kuhakikisha mara baada ya mafunzo wanaanza kutumia vema mfumo wa Uhasibu na utoaji wa tarifa.
Washiriki wakiwa makini kuhakikisha mara baada ya mafunzo wanaanza kutumia vema mfumo wa Uhasibu na utoaji wa tarifa.
Hivyo makala Mafunzo ya Mfumo wa Uhasibu na uandaaji wa taarifa (Epicol 10.2) yanayoendelea mkoani Mwanza
yaani makala yote Mafunzo ya Mfumo wa Uhasibu na uandaaji wa taarifa (Epicol 10.2) yanayoendelea mkoani Mwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mafunzo ya Mfumo wa Uhasibu na uandaaji wa taarifa (Epicol 10.2) yanayoendelea mkoani Mwanza mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mafunzo-ya-mfumo-wa-uhasibu-na-uandaaji.html
0 Response to "Mafunzo ya Mfumo wa Uhasibu na uandaaji wa taarifa (Epicol 10.2) yanayoendelea mkoani Mwanza"
Post a Comment