ZIARA YA DC MJEMA YAIBUA MAKUBWA ,AMTUMBUA AFISA MASOKO NA KUFUTA USHURU WA MLANGONI SOKO LA PUGU KIGOGOFRESH.

ZIARA YA DC MJEMA YAIBUA MAKUBWA ,AMTUMBUA AFISA MASOKO NA KUFUTA USHURU WA MLANGONI SOKO LA PUGU KIGOGOFRESH. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIARA YA DC MJEMA YAIBUA MAKUBWA ,AMTUMBUA AFISA MASOKO NA KUFUTA USHURU WA MLANGONI SOKO LA PUGU KIGOGOFRESH., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIARA YA DC MJEMA YAIBUA MAKUBWA ,AMTUMBUA AFISA MASOKO NA KUFUTA USHURU WA MLANGONI SOKO LA PUGU KIGOGOFRESH.
kiungo : ZIARA YA DC MJEMA YAIBUA MAKUBWA ,AMTUMBUA AFISA MASOKO NA KUFUTA USHURU WA MLANGONI SOKO LA PUGU KIGOGOFRESH.

soma pia


ZIARA YA DC MJEMA YAIBUA MAKUBWA ,AMTUMBUA AFISA MASOKO NA KUFUTA USHURU WA MLANGONI SOKO LA PUGU KIGOGOFRESH.




Na John Luhende
Mwamba wa habari
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema ameufuta ushuru wa mlangoni katika Soko la Kigogofresh hadi hapo miundo mbinu itakapo rekebishwa, na kutangaza kuondolewa kwa mkandarasi anayejenga mifereji katika eneo la soko hilo.


DC Mjema,  ameyasema hayo wakati wa ziara yake katika Manispaa ya Ilala ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi na kumwondoa  Afisa Masoko wa soko hilo kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo,na kumwagiza Mkurugenzi  wa Manispaa ya Ilala kupeleka Afisa Mwingine.

Wananchi wa Kata ya Pugu Wilayani Ilala wakitoakero zao mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema ,  wameomba kuondolewa kwa ushuru wa shilingi 200 za ulinzi  na kuomba wakubaliwe kuleta walinzi wao wenyewe.

Aidha wamelalamikia ushuru wa mazao kwa kuwa wanashindwa kulipa mikopo waliyo Kopa, na wamelalamikia Afisa wa soko kwa kutojali Wafanya biashara. 

Wananchi hao pia wameomba ufafanuzi kuhusu vibali vya namba za nyumba kwa kuwa walitoa pesa, huku mamalishe wakiomba kupewa eneo maalumu la kufanyia biashara ama wajaziwe kifusi katika eneo lao wanalofanyia kazi. 

Kwa upande wao Wafanyabiasha wanafanyia kazi katika maeneo ya nje ya soko wanaomba kupewa sehemu nyingine wasinyeshewe mvua.

Pamoja na hayo wananchi hao wameomba DC Mjema kuwasaidia kuongea na Wafanyabiasha ili waletebidhaa kuuza jumla katika Soko hilo, na kuomba magari ya kutoka maeneo mbalimbali yaweyanaishia hapo. 

Wafanyabiashara pia wameomba kuondolewa kwa ushuru wa maegesho kwa kuwa inaumiza wateja wao wanaokuja kununua sokoni hapo.



Hivyo makala ZIARA YA DC MJEMA YAIBUA MAKUBWA ,AMTUMBUA AFISA MASOKO NA KUFUTA USHURU WA MLANGONI SOKO LA PUGU KIGOGOFRESH.

yaani makala yote ZIARA YA DC MJEMA YAIBUA MAKUBWA ,AMTUMBUA AFISA MASOKO NA KUFUTA USHURU WA MLANGONI SOKO LA PUGU KIGOGOFRESH. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA DC MJEMA YAIBUA MAKUBWA ,AMTUMBUA AFISA MASOKO NA KUFUTA USHURU WA MLANGONI SOKO LA PUGU KIGOGOFRESH. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/ziara-ya-dc-mjema-yaibua-makubwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIARA YA DC MJEMA YAIBUA MAKUBWA ,AMTUMBUA AFISA MASOKO NA KUFUTA USHURU WA MLANGONI SOKO LA PUGU KIGOGOFRESH."

Post a Comment