title : MFUMO MPYA WA KUTOLEA HUDUMA ZA KIBENKI WAZINDULIWA ZANZIBAR
kiungo : MFUMO MPYA WA KUTOLEA HUDUMA ZA KIBENKI WAZINDULIWA ZANZIBAR
MFUMO MPYA WA KUTOLEA HUDUMA ZA KIBENKI WAZINDULIWA ZANZIBAR
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk,Sira Ubwa Mamboya akibonyeza kitufe kuashiria Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki uliofanyika katika Makao makuu ya PBZ Mpirani Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk,Sira Ubwa Mamboya akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya Ufunguzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki uliofanyika katika Makao makuu ya PBZ Mpirani Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)waliohudhuria katika Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki uliofanyika katika Makao makuu ya PBZ Mpirani Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Katibu Mkuu Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar akitoa hotuba na kumkaribisha mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki uliofanyika katika Makao makuu ya PBZ Mpirani Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mkurugenzi mtendaji wa PBZ Juma Ameir Hafidh akitoa hotuba katika hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki uliofanyika katika Makao makuu ya PBZ Mpirani Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Hivyo makala MFUMO MPYA WA KUTOLEA HUDUMA ZA KIBENKI WAZINDULIWA ZANZIBAR
yaani makala yote MFUMO MPYA WA KUTOLEA HUDUMA ZA KIBENKI WAZINDULIWA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MFUMO MPYA WA KUTOLEA HUDUMA ZA KIBENKI WAZINDULIWA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mfumo-mpya-wa-kutolea-huduma-za-kibenki.html
0 Response to "MFUMO MPYA WA KUTOLEA HUDUMA ZA KIBENKI WAZINDULIWA ZANZIBAR"
Post a Comment