RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYA

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYA
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYA

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga mara baada ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Jimbo hilo.
8
9..
 Mke wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli  Mama Janeth Magufuli akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga mara baada ya kusimikwa kuwa Mkuu wa Jimbo hilo.
1
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiongoza Ibada ya kumsikima Askofu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya katika Ibada iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
2 3
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akiwa amekaa kwenye kiti wakati Ibada ya kusimikwa kwake ikiendelea katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
5
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akisalimiana na Mapadre wa Kanisa Katoliki mara baada ya kusimikwa Rasmi kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya.
6
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akiwa ameketi kwenye Kiti cha Uaskofu pamoja na Maaskofu wengine wa Kanisa Katoliki nchini.

9. 11
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akipongezwa na Maaskofu mbalimbali wa Kanisa Katoliki mara baada ya kusimikwa Rasmi. PICHA NA IKULU
12
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga akiwa amekaa kwenye kiti wakati Ibada ya kusimikwa kwake ikiendelea katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
034A1097
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikusanya Sadaka kwa waumini mbalimbali waliokusanyika katika uwanja wa Sokoine katika ibada ya Kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mkoa wa Mbeya Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga
034A1098 034A1101 034A1135 034A1143 034A1190 034A1215 034A1218


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYA

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/rais-dkt-magufuli-pamoja-na-mkewe-mama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA KUSIMIKWA KWA ASKOFU GERVAS NYAISONGA KUWA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI MKOANI MBEYA"

Post a Comment