WANAFUNZI WAZURU UBALOZI WA OMAN

WANAFUNZI WAZURU UBALOZI WA OMAN - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANAFUNZI WAZURU UBALOZI WA OMAN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANAFUNZI WAZURU UBALOZI WA OMAN
kiungo : WANAFUNZI WAZURU UBALOZI WA OMAN

soma pia


WANAFUNZI WAZURU UBALOZI WA OMAN

Na Salum Vuai, ZANZIBAR 

JUKUMU la mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao katika mataifa ya nje, ni kuwaunganisha wananchi na sio kuwa karibu na serikali na viongozi pekee.

Kauli hiyo imetolewa na Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Dk. Ahmad Hamood Al Habsy, alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu wanaosomea diplomasia na uhusiano wa kimataifa walipomtembelea ofisini kwake Migombani mjini Unguja.

Balozi huyo alieleza kuwa, kwa kutambua hilo, amefungua milango ya ofisi yake kutoa fursa kwa wananchi mbalimbali wa Zanzibar pamoja na viongozi, kwenda kujifunza masuala muhimu kwa lengo la kuimarisha mahusiano ya kihistoria kati ya nchi yao na Oman.

Alisema, baadhi ya watu wanadhani kwamba kufanya kazi katika ofisi za kibalozi kuna mipaka inayowatenganisha mabalozi na wananchi wa kawaida, jambo alilosema sio sahihi.

Dk. Al Habsy alisema licha ya mabalozi kuwajibika kiserikali katika mataifa wanayopelekwa kufanya kazi, pia wanapaswa kuwa karibu na wananchi wa nchi za nje wanazokuweko, wakitambua kuwa nayo ni sehemu ya majukumu yao. 
BALOZI Mdogo wa Oman anayefanya kazi zake Zanzibar Dk. Ahmad Hamood Al Habsy (Kulia), akizungumza na wanafunzi wanaosomea fani ya Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa, wakati walipofanya ziara kwenye ofisi za ubalozi huo zilizopo Migombani mjini Zanzibar.
DK. Ahmed Hamood Al Habsy, Balozi Mdogo wa Oman visiwani Zanzigar (Kulia) na Mhadhiri wa somo la Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa katika Chuo Kikuu Zanzibar kilichoko Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja, Mohammed Yussuf.
WANAFUNZI, wahadhiri na baadhi ya maofisa wa Ubalozi Mdogo wa Oman mjini Zanzibar, wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mdogo Dk. Ahmad Hamood Al Habsy nje ya jengo la ubalozi huo Migombani, Zanzibar baada ya ziara ya wanafunzi hao iliyolenga kubadilishana mawazo na kujifunza shughuli za Kidiplomasia na Mahusiano ya Kimataifa. (PICHA ZOTE NA HAROUB HUSSEIN). 



Hivyo makala WANAFUNZI WAZURU UBALOZI WA OMAN

yaani makala yote WANAFUNZI WAZURU UBALOZI WA OMAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANAFUNZI WAZURU UBALOZI WA OMAN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/wanafunzi-wazuru-ubalozi-wa-oman.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANAFUNZI WAZURU UBALOZI WA OMAN"

Post a Comment