GREEN WASTEPRO LTD WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KWA KUSAFISHA FUKWE YA AGA KHAN

GREEN WASTEPRO LTD WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KWA KUSAFISHA FUKWE YA AGA KHAN - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa GREEN WASTEPRO LTD WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KWA KUSAFISHA FUKWE YA AGA KHAN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : GREEN WASTEPRO LTD WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KWA KUSAFISHA FUKWE YA AGA KHAN
kiungo : GREEN WASTEPRO LTD WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KWA KUSAFISHA FUKWE YA AGA KHAN

soma pia


GREEN WASTEPRO LTD WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KWA KUSAFISHA FUKWE YA AGA KHAN

Wafanyakazi wa Manispaa ya Ilala pamoja na wafanyakazi wa Green Waste Pro Ltd wakiendelea kufanya usafi katika fukwe ya Bahari ya Hindi kata ya Kivukoni eneo la Aga Khan jijini Dar ikiwa ni wiki ya Mazingira. Mwenye shati nyeupe ni  Meneja Msaidizi wa kampuni Green WastePro ltd, Erick Mark.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akisitiza jambo kwa wadau walioshiriki zoezi la usafi katika fukwe ya bahari ya Hindi eneo la Aga Khan na kuwaomba waendelee na kufanya usafi na hata kuwahamasisha watu wengine kuwa mabalozi wa mazingira ili kufikia malengo waliyojiwekea katika manispaa ya Ilala.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Mstahiki Omary Kumbilamoto akizungumza jambo kwa wadau mbalimbali waliokuja kujumuika katika zoezi la usafi katika fukwe ya Bahari ya Hindi eneo la Agha Khan katika wiki ya mazingira.

Meneja wa uendeshaji wa kampuni ya Green Waste ProLtd, Abdallah Mbena akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ushiriki wa kampuni hiyo katika zoezi la kufanya usafi katika fukwe ya Bahari ya Hindi kata ya Kivukoni eneo la Aga Khan jijini Dar ikiwa ni wiki ya Mazingira.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Green WastePro Ltd  mara baada ya kumaliza kufanya usafi kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi eneo la Aga Khan kata ya Kivukoni ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Mazingira.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala GREEN WASTEPRO LTD WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KWA KUSAFISHA FUKWE YA AGA KHAN

yaani makala yote GREEN WASTEPRO LTD WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KWA KUSAFISHA FUKWE YA AGA KHAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala GREEN WASTEPRO LTD WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KWA KUSAFISHA FUKWE YA AGA KHAN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/green-wastepro-ltd-washiriki-wiki-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "GREEN WASTEPRO LTD WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KWA KUSAFISHA FUKWE YA AGA KHAN"

Post a Comment