WADAU WAOMBWA KUISAIDIA TABLE TENNIS

WADAU WAOMBWA KUISAIDIA TABLE TENNIS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU WAOMBWA KUISAIDIA TABLE TENNIS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU WAOMBWA KUISAIDIA TABLE TENNIS
kiungo : WADAU WAOMBWA KUISAIDIA TABLE TENNIS

soma pia


WADAU WAOMBWA KUISAIDIA TABLE TENNIS

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
TIMU ya taifa ya tennis ya walemavu (Table Tennis)  imeshindwa kusafirisha wachezaji wake kuelekea nchini Malaysia kutokana  na uhaba wa fedha pamoja na vifaa ikiwemo viti (wheel chairs)

Kocha wa timu hiyo Riziki Salum amesema changamoto kubwa katika chama chao kumekuwa ni uhaba wa fedha unaopelekea kushindwa kuwasafirisha wachezaji wake kuelekea katika mashindano mbalimbali.

Riziki  amesema, katika safari ya Malaysia wamempeleka mchezaji mmoja tu kwa ajili ya mashindano yaliyopo huko wakati wanatakiwa wapeleke wachezaji japo wanne ili waweze 

Amesema, kuna safari zingine ikiwemo ya Afrika Kusini ya Septemba 28 itahitajika kwenda kwa wachezaji wannne na gharama ni dola 400 kwa kila mmoja itakayotumika kwa ajili ya nauli ya kwenda na kurudi pamoja na malazi.

Ameongezea kuwa ndani ya mwaka huu kuna mashindano pia nchini Sweden, Ghana na Nigeria na gharama ya kusafirisha timu nzima inafikia dola 7000 ila watashindwa kuwasafirisha kutokana na ukata wa fedha.

Riziki amewaomba wadau wa table tennis kujitokeza kwa ajili ya kuisaidia timu yao kifedha ambapo kwa sasa wapo katika maandalizi kwenye kipindi hiki ili waweze kusafirisha timu nzima kuelekea Afrika kusini, Sweden, Ghana na Nigeria.


Hivyo makala WADAU WAOMBWA KUISAIDIA TABLE TENNIS

yaani makala yote WADAU WAOMBWA KUISAIDIA TABLE TENNIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WAOMBWA KUISAIDIA TABLE TENNIS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/wadau-waombwa-kuisaidia-table-tennis.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WADAU WAOMBWA KUISAIDIA TABLE TENNIS"

Post a Comment