Mchezaji wa Brazil Somalia Ajiunga na Al-Shabab Nchini Saudia

Mchezaji wa Brazil Somalia Ajiunga na Al-Shabab Nchini Saudia - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mchezaji wa Brazil Somalia Ajiunga na Al-Shabab Nchini Saudia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mchezaji wa Brazil Somalia Ajiunga na Al-Shabab Nchini Saudia
kiungo : Mchezaji wa Brazil Somalia Ajiunga na Al-Shabab Nchini Saudia

soma pia


Mchezaji wa Brazil Somalia Ajiunga na Al-Shabab Nchini Saudia

Kiungo wa kati wa Brazil Somália anajiunga na klabu ya Saudia Al-Shabab.

Somália amejiunga na al-shababa lakini sivyo unavyodhania.
Wergiton do Rosario Calmon, kwa jina maarufu Somalia ameichezea klabu ya Ufaransa ya Toulouse kwa takriban miaka mitatu, lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 kutoka Brazil sasa amehamia katika klabu ya Al-Shabab nchini Saudia.
Huku ikiwa jina al-Shabab linalomaanisha Vijana kwa kiarabu sio jina baya , mitandao ya kijamii ilikuwa na haraka kulishirikisha jina hilo na kundi la kijihad mashariki mwa Afrika.
Kundi hilo linalohusishwa na lile la al-Qaeda limekuwa likipigana na serikali ya Somalia inayoungwa mkono na Umoja wa mataifa kwa ,muonhgo mmja uliopita na limetekeleza msururu wa mashambulizi katika eneo hilo.


Hivyo makala Mchezaji wa Brazil Somalia Ajiunga na Al-Shabab Nchini Saudia

yaani makala yote Mchezaji wa Brazil Somalia Ajiunga na Al-Shabab Nchini Saudia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mchezaji wa Brazil Somalia Ajiunga na Al-Shabab Nchini Saudia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mchezaji-wa-brazil-somalia-ajiunga-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mchezaji wa Brazil Somalia Ajiunga na Al-Shabab Nchini Saudia"

Post a Comment