TIC WAZINDUA MFUMO WA KUTOA VIBALI VYA KAZI KWA WAWEKEZAJI KWA NJIA YA KIELETRONIKI

TIC WAZINDUA MFUMO WA KUTOA VIBALI VYA KAZI KWA WAWEKEZAJI KWA NJIA YA KIELETRONIKI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TIC WAZINDUA MFUMO WA KUTOA VIBALI VYA KAZI KWA WAWEKEZAJI KWA NJIA YA KIELETRONIKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TIC WAZINDUA MFUMO WA KUTOA VIBALI VYA KAZI KWA WAWEKEZAJI KWA NJIA YA KIELETRONIKI
kiungo : TIC WAZINDUA MFUMO WA KUTOA VIBALI VYA KAZI KWA WAWEKEZAJI KWA NJIA YA KIELETRONIKI

soma pia


TIC WAZINDUA MFUMO WA KUTOA VIBALI VYA KAZI KWA WAWEKEZAJI KWA NJIA YA KIELETRONIKI

Mkurugenzi Mtendaji wa TIC Bw. Geoffrey Mwambe katika picha ya pamoja na Kamishna wa Kazi Mhe. Hilda Kabissa huku wakifurahia namna ambavyo mfumo wa Kielectronic  ulivyoweza kuchapisha 'kibali cha kwanza cha kazi kwa wawekezaji'.
 Mkurugenzi Mtendaji wa TIC Bw. Geoffrey Mwambe akiwa na wageni wake Kamishina wa Kazi Mhe. Hida Kabissa ( wa kwanza kulia) na Bi Rehema Moyo (Kamishna Msaidizi)

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii
MKURENZI Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) Geoffrey Mwambe amekutana na Kamishina wa Kazi Hilda Kabissa na kuzindua mfumo wa ndani wa kuchakata na kutoa vibali vya kazi kwa wawekezaji kwa njia ya kielektroniki vinavyotolewa kupitiia mfumo wa mahala pamoja (One Stock Facilitation Centre) ndani ya ofisi za kituo hicho.

Uzinduzi huo ni uthibitisho wa taarifa ya Mwambe ambayo aliitoa kwa vyombo vya habari Agosti 27 mwaka huu na kwamba mfumo huo utaafanya kazi kuanzia 
Septemba 3 mwaka huu.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Mwambe amesema jana kuwa faida za mfumo ni kwamba unalenga kutoa vibali vya kazi kwa wawekezaji chini ya siku tatu endapo mwombaji atawasilisha nyaraka zote stahiki. 

Mwambe amefafanua kwa kuzingatia hilo wadau wanataarifiwa kuanzia Septemba 3 mwaka huu anayehitaji kuomba kibali cha kazi atalazimika kuwasilisha viambatanisho vyote vya maombi ya vibali vya kazi vikiwa vimekamilika katika mfumo 'Hard copy na Soft copies'.

Amesisitiza mfumo huo wenye lengo la kurahisisha utoaji huduma wa vibali kwa wawekezaji ni kwamba mfumo huo utawezesha na kurahisisha taarifa mbalimbali za vibali vya kazi vitakavyokuwa vinechakatwa na kutolewa kwa wawekezaji.

Kwa upande wake Kamishina wa Kazi ametumia nafasi hiyo kutoa pongezi jitihada zinazofanywa na TIC kwa kuanzisha mfumo huo ambao ameuelezea utaleta mabadiliko chanja yakiwamo ya maboresho katika uchakataji na utoaji wa vibali vya kazi kwa wawekezaji.Pia kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumi ya Wizara.


Hivyo makala TIC WAZINDUA MFUMO WA KUTOA VIBALI VYA KAZI KWA WAWEKEZAJI KWA NJIA YA KIELETRONIKI

yaani makala yote TIC WAZINDUA MFUMO WA KUTOA VIBALI VYA KAZI KWA WAWEKEZAJI KWA NJIA YA KIELETRONIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TIC WAZINDUA MFUMO WA KUTOA VIBALI VYA KAZI KWA WAWEKEZAJI KWA NJIA YA KIELETRONIKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/tic-wazindua-mfumo-wa-kutoa-vibali-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TIC WAZINDUA MFUMO WA KUTOA VIBALI VYA KAZI KWA WAWEKEZAJI KWA NJIA YA KIELETRONIKI"

Post a Comment