title : RAIS MSTAAFU BENJAMINI WILLIAM MKAPA AFUNGUA JENGO LA UPASUAJI KWENYE KITUO CHA AFYA CHA NKOMO WILAYANI ITILIMA
kiungo : RAIS MSTAAFU BENJAMINI WILLIAM MKAPA AFUNGUA JENGO LA UPASUAJI KWENYE KITUO CHA AFYA CHA NKOMO WILAYANI ITILIMA
RAIS MSTAAFU BENJAMINI WILLIAM MKAPA AFUNGUA JENGO LA UPASUAJI KWENYE KITUO CHA AFYA CHA NKOMO WILAYANI ITILIMA
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamini William Mkapa akikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la upasuaji kwenye kituo cha afya cha Nkomo kilichopo kijiji cha Mwalushu,Wilayani Itilima-Simiyu
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Itilima Dkt. Anold Musiba akitoa maelezo kwa Rais Mstaafu,kulia ni Balaozi wa Japan nchini Tanzania Mhe.Masaharu Yoshida. Jengo hilo limejengwa na Ubalozi wa Japan kupitia Taasisi ya Benjamini Mkapa na kugharimu kiasi cha shilingi za kitanzania milioni 270.
Rais Mstaafu akiangalia moja ya vifaa vilivyomo kwenye chumba cha upasuaji .Ujenzi wa jengo hilo kwa asilimia kubwa itawasaidia akina mama wajawazito ambapo awali wananchi wa kijiji hicho walikua wakitembea kilometa arobaini kwenda kupata huduma za namna hiyo.
Jengo hilo la upasuaji linavyoonekana
Msimamizi wa ujenzi wa jengo hilo kutoka Taasisi ya Benjamini Mkapa Geofrey Nyaluke (mwenye fulana ya jano) akitoa maelezo kwa Viongozi waliofika kushuhudia ufunguzi wa jengo hilo.
Hivyo makala RAIS MSTAAFU BENJAMINI WILLIAM MKAPA AFUNGUA JENGO LA UPASUAJI KWENYE KITUO CHA AFYA CHA NKOMO WILAYANI ITILIMA
yaani makala yote RAIS MSTAAFU BENJAMINI WILLIAM MKAPA AFUNGUA JENGO LA UPASUAJI KWENYE KITUO CHA AFYA CHA NKOMO WILAYANI ITILIMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MSTAAFU BENJAMINI WILLIAM MKAPA AFUNGUA JENGO LA UPASUAJI KWENYE KITUO CHA AFYA CHA NKOMO WILAYANI ITILIMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-mstaafu-benjamini-william-mkapa_9.html
0 Response to "RAIS MSTAAFU BENJAMINI WILLIAM MKAPA AFUNGUA JENGO LA UPASUAJI KWENYE KITUO CHA AFYA CHA NKOMO WILAYANI ITILIMA"
Post a Comment