KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM LEO.

KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM LEO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM LEO.
kiungo : KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM LEO.

soma pia


KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM LEO.

Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa akivalishwa mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa CCM White House Dodoma
Meza kuu ikiimba pamoja na Wajumbe wa Baraza kuu 
Wajumbe wa Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakiimba Nyimbo mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa 
 ambae pia ni Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Kikao Cha Baraza kuu ala UVCCM Taifa 
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala akizungumza Kuwakaribissha wajumbe wa kikao cha Baraza kuu Kilicho fanyika jjini Dodoma Leo
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Ndg.Kheri D James Akizungumza wakati wa Kumkaribisha Mgeni Rasmi Kufungua kikao Cha Baraza kuu la UVCCM Kilichofanyika JIJINI Dodoma Leo
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally Kakurwa akifungua kikao  Cha Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Kilichofanyika Jijini Dodoma Leo.
Wajumbe wa Baraza kuu wakifuatilia Mkutano 
Wabunge na wawakilishi wa nao tokana na Umoja wa Vijana

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Bi Tabia Mwita akitoa neno la Shukran Kwa Mgeni rasmi Mara baada ya kikao cha Kufunguliwa na Katibu Mkuu wa CCM
 Mbunge wa Nzega Mhe Hussein Bashe akizungumza kwa Niaba ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi katika kikao cha Baraza kuu la Uvccm Taifa.
Naibu waziri wa Kazi Vijana na Ajira na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini akizungumza kwa niaba ya Serikali katika kikao cha Baraza kuu la UVCCM leo jijini dodoma.(Picha zote na Fahadi Siraji UVCCM)





Hivyo makala KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM LEO.

yaani makala yote KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM LEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/katibu-mkuu-wa-ccm-dkt-bashiru-ally_31.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM LEO."

Post a Comment