title : Rais wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano.
kiungo : Rais wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano.
Rais wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa zungumza na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoongozwa na Spika Mhe.Job Ndugai (wa nne kulia) baada ya mazungumzo ujumbe huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, [Picha na Ikulu.] 17/08/2018.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-wa-zanzibar-wa-zanzibar-na.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano."
Post a Comment