title : Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia
kiungo : Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia
Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia Nd,Abubakar Mansoer jana walipokutana kwa mazungumzo katika Hoteli ya Discovery Kartika Plaza akiwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.]03/08/2018.
Baadhi Viongozi katika Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakiwa katika mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Nd,Abubakar Mansoer (hayupo pichani) katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.]03/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia Nd,Abubakar Mansoer (katikati) pamoja na Viongozi wa pande mbili hizo walipokutana jana kwa mazungumzo katika Hoteli ya Discovery Kartika Plaza katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.]03/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ahaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) pamoja na ujumbe wake walishiriki katika swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Msikiti Masjid Hudal Islamiya wa Mjini Bali Indonesia katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.]03/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ahaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malaysia pia akiiwakilisha Tanzania Nchini Indinesia Mhe.Dkt.Ramadhan Kitwana Dau, pamoja na ujumbe wake wakitoka katika swala ya Ijumaa iliyoswaliwa katika Msikiti Masjid Hudal Islamiya wa Mjini Bali Indonesia wakatika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.]03/08/2018.
Hivyo makala Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia
yaani makala yote Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-dk-shein-akutana-na-mkurugenzi.html
0 Response to "Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia"
Post a Comment