WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO UJENZI WA MADARASA

WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO UJENZI WA MADARASA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO UJENZI WA MADARASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO UJENZI WA MADARASA
kiungo : WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO UJENZI WA MADARASA

soma pia


WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO UJENZI WA MADARASA

Wadau mbalimbali wa maendeleo Wilayani Arumeru wameendelea Kujitokeza na kumuunga mkono Mkuu wa Wilaya hiyo Ndugu Jerry Cornel Muro katika ujenzi wa madarasa.

Wadau hao wa maendeleo Waliahidi kuchangia mifuko 100 ya Saruji na kwa Awamu ya kwanza leo Hii wamemkabidhi Dc Muro mifuko 50 ya saruji na kuahaidi ndani ya wiki mbili zijazo watakamilisha ahadi yao. 

Wakizungumza mara baada ya kukabidhi mifuko hiyo ya saruji wameeleza kuwa Lengo la kumuunga mkono Dc Muro katika ujenzi wa madarasa ni kwamba wanaamini Katika kujenga jamii imara lazima kuhakikisha Elimu inapewa kipaumbele cha pekee pia wameeleza hawana budi kuunga mkono juhudi za serikali ya Awamu ya tano chini ya Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Arumeru amewashuku wadau hao wa maendeleo kuendelea kujitolea katika kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wanapata madarasa ya kutosha

Pia Dc Muro amewaomba Wadau wengine kuja kumuunga mkono katika kuchangia ujenzi wa madarasa katika Halmashauri ya Arusha Dc na Halmashauri ya Meru. 

Imetolewa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru
20/01/2019



Hivyo makala WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO UJENZI WA MADARASA

yaani makala yote WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO UJENZI WA MADARASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO UJENZI WA MADARASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/wadau-wa-maendeleo-wamuunga-mkono-dc_20.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WADAU WA MAENDELEO WAMUUNGA MKONO DC MURO UJENZI WA MADARASA"

Post a Comment