title : NAIBU WAZIRI ULEGA AKUTANA NA WATENDAJI WA MRADI SWIOFISH
kiungo : NAIBU WAZIRI ULEGA AKUTANA NA WATENDAJI WA MRADI SWIOFISH
NAIBU WAZIRI ULEGA AKUTANA NA WATENDAJI WA MRADI SWIOFISH
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mh. Abdalla Ulega akiongozana na Dkt. Rashid Tamatama Katibu Mkuu Uvuvi wamezungumza na watumishi wa upande wa Mradi wa SWIOFish katika ukumbi wa Mvuvi House - Dar es Salaam.
Mh. Naibu Waziri baada ya kupata maelezo kuhusu Mradi huo ametoa changamoto kwa watendaji kwa kuwaeleza kuwa elimu inayotolewa kwa jamii za wavuvi iweze kuleta matokeo chanya hata pale mradi utakapo maliza muda wake na kuwepo na matokeo ambayo yataweza kupimika hata kwa macho.
Hii itasaidia sana jamii zetu ambazo Mara nyingi miradi ikiishà na wao hali zao zinaendelea kuwa duni badala ya kuwa zimeboreshwa.Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo leo jijini Dar as Salaam.
Hivyo makala NAIBU WAZIRI ULEGA AKUTANA NA WATENDAJI WA MRADI SWIOFISH
yaani makala yote NAIBU WAZIRI ULEGA AKUTANA NA WATENDAJI WA MRADI SWIOFISH Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI ULEGA AKUTANA NA WATENDAJI WA MRADI SWIOFISH mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/naibu-waziri-ulega-akutana-na-watendaji.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI ULEGA AKUTANA NA WATENDAJI WA MRADI SWIOFISH"
Post a Comment