title : Mradi wa Usambazaji wa Mabomba Mapya ya Maji Safi na Salama Katika Mitaa ya Zanzibar.
kiungo : Mradi wa Usambazaji wa Mabomba Mapya ya Maji Safi na Salama Katika Mitaa ya Zanzibar.
Mradi wa Usambazaji wa Mabomba Mapya ya Maji Safi na Salama Katika Mitaa ya Zanzibar.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Kichina ya STECOL inayosimamia Mradi wa usambazaji maji safi na salama katika maeneo ya mbalimbali ya Mji wa Zanzibar wakisambaza mambomba hayo katika mitaa ya miembeni Unguja, wakiwa katika eneo la miembeni jitini wakitandaza mpira wa kusambazia maji katika mitaa hiyo kama walivyokutwa na mpiga picha wetu wakati akiwa katika mitaa mbalimbali ya Zenj.
Hivyo makala Mradi wa Usambazaji wa Mabomba Mapya ya Maji Safi na Salama Katika Mitaa ya Zanzibar.
yaani makala yote Mradi wa Usambazaji wa Mabomba Mapya ya Maji Safi na Salama Katika Mitaa ya Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mradi wa Usambazaji wa Mabomba Mapya ya Maji Safi na Salama Katika Mitaa ya Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mradi-wa-usambazaji-wa-mabomba-mapya-ya.html
0 Response to "Mradi wa Usambazaji wa Mabomba Mapya ya Maji Safi na Salama Katika Mitaa ya Zanzibar."
Post a Comment