title : IBADA YA SHUKRANI YA MAMA YETU MPENDWA BI.JOYCE CLARA KIBAJA
kiungo : IBADA YA SHUKRANI YA MAMA YETU MPENDWA BI.JOYCE CLARA KIBAJA
IBADA YA SHUKRANI YA MAMA YETU MPENDWA BI.JOYCE CLARA KIBAJA
Familia ya Marehemu Bw & Bibi Julius Vicent Kibaja wa Makongo Juu Dar es Salaam tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Ndugu, Jamaa na marafiki, Wauguzi na Madaktari kwa ushirikiano wenu mkubwa mlioutoa kwetu tangu kutokea kwa kifo cha MAMA YETU MPENDWA Bi. JOYCE CLARA KIBAJA tarehe 5-07-2018 katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI) na mpaka tulipompumzisha kwenye nyumba yake ya milele katika Kijiji cha Kwemhosi- Kigunga-Muheza –Tanga .
Ibada ya shukrani itafanyika tarehe 25-08-2018 katika Kanisa la Mt. Jacob lililopo Kijiji cha Kwemhosi - Muheza ikitanguliwa na mkesha tar 24-08-2018.
Aidha, siku ya Ijumaa tarehe 31-08-2018 kutakuwa pia na ibada ya shukrani itakayofanyika katika kanisa la Anglikan la Mt. .Nikolaus - Ilala Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni, Wote mnakaribishwa.
“Bwana alinitokea zamani akisema, Naam nimekupenda kwa Upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu” YEREMIA 31:3
“ JOYCE CLARA KIBAJA YOU ARE THE BEST DEVOTED MUM FOREVER IN OUR HEART”
R.I.P
Hivyo makala IBADA YA SHUKRANI YA MAMA YETU MPENDWA BI.JOYCE CLARA KIBAJA
yaani makala yote IBADA YA SHUKRANI YA MAMA YETU MPENDWA BI.JOYCE CLARA KIBAJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IBADA YA SHUKRANI YA MAMA YETU MPENDWA BI.JOYCE CLARA KIBAJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/ibada-ya-shukrani-ya-mama-yetu-mpendwa.html
0 Response to "IBADA YA SHUKRANI YA MAMA YETU MPENDWA BI.JOYCE CLARA KIBAJA"
Post a Comment