RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MUHINGO RWEYAMAMU.

RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MUHINGO RWEYAMAMU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MUHINGO RWEYAMAMU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MUHINGO RWEYAMAMU.
kiungo : RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MUHINGO RWEYAMAMU.

soma pia


RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MUHINGO RWEYAMAMU.


Leo Jumanne,Septemba 5,2017

Asubuhi Saa 2:00 -300: Chai nyumbani kwa Marehemu, Mbezi Msigani.

Asubuhi Saa 3:00- 5:00:Ibaada Kanisa la KKT Mbezi Luisi,lilipo Kibanda cha Mkaa,Mbezi.

Saa 5:00-6:00:Msafara kwenda Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Mchana Saa 6:00-8:00: Hafla ya kuaga mwili Mnazi Mmoja

Mchana Saa 8:00-8:20:Kuelekea Kinondoni Makaburini

Mchana Saa 8:20-9:00:Maziko Kinondoni Makaburini.

Jioni Saa 9:00-10:00:Kurejea nyumbani kwa Marehemu Mbezi Msigani

Kwa Mawasiliano zaidi:

Stella Nyemenohi 0758295529
Joyce Mmasi 0714233929
 Sanduku lenye mwili wa Marehemu Muhingo Rweyamamu,nyumbani kwake tayari kwa ratiba ya kuagwa mapema leo katika viwanja vya Mnazi mmoja na baadae maziko yake kufanyika katika makaburi ya Kinondoni,jijini Dar Es Salaam
Pichani kulia Waziri wa Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo Mh.Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza na ndugu wa marehemu jana usiku nyumbani kwa marehemu Muhingo kwa ajili ya kufariji wafiwa.
  Waziri wa Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo Mh.Dkt Harrison Mwakyembe akisaini kitabu cha maombolozo jana usiku nyumbani kwa marehemu Muhingo.


Hivyo makala RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MUHINGO RWEYAMAMU.

yaani makala yote RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MUHINGO RWEYAMAMU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MUHINGO RWEYAMAMU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/ratiba-ya-mazishi-ya-marehemu-muhingo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MUHINGO RWEYAMAMU."

Post a Comment