RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA TOKOMEZA MALARIA DUNIANI

RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA TOKOMEZA MALARIA DUNIANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA TOKOMEZA MALARIA DUNIANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA TOKOMEZA MALARIA DUNIANI
kiungo : RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA TOKOMEZA MALARIA DUNIANI

soma pia


RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA TOKOMEZA MALARIA DUNIANI

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ameshiriki katika mkutano wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani (End Malaria Council) uliofanyika tarehe 26 Septemba, 2018 mjini New York Marekani.
Baraza la Kutokomeza Malaria linaundwa na Wajumbe 9 ambao ni watu mashuhuri katika sekta ya umma na sekta binafsi chini uenyekiti wa Bill Gates. Lengo la Baraza hilo ni kuunganisha nguvu za wadau na mataifa duniani kukabiliana na hatimaye kutokomeza kabisa ugonjwa wa Malaria ifikapo mwaka 2030.


Hivyo makala RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA TOKOMEZA MALARIA DUNIANI

yaani makala yote RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA TOKOMEZA MALARIA DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA TOKOMEZA MALARIA DUNIANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-mstaafu-jk-ashiriki-mkutano-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA TOKOMEZA MALARIA DUNIANI"

Post a Comment