title : MANZESE UNITED MABINGWA WAPYA NDONDO CUP 2018
kiungo : MANZESE UNITED MABINGWA WAPYA NDONDO CUP 2018
MANZESE UNITED MABINGWA WAPYA NDONDO CUP 2018
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
MICHUANO ya Ndondo Cup yamefikia tamati leo baada Timu ya Manzese United kuibuka mabingwa wapya wa Ndondo Cup 2018 baada ya kuifunga timu ya Kivule kwa goli 1-0 mechi iliyofanyika leo Jijino Dar es Salaam.
Mchezo huo ulioanza majira ya 10 alasiri katika uwanja wa Bandari ulichezeshwa na Mwamuzi mwenye beji ya FIFA Hery Sasii akisaidiwa na Mwamuzi wa pembeni Soud Lila na Hellen Mduma.Mchezo huo ulianza kwa kasi katika dakika ya 9 Manzese United wanapata goli la kwanza kupitia kwa mchezaji wake Hamza lililodumu mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika.
Umakini wa safu ya ushambuliaji ya Kiluvya United iliwanyima fursa ya kusawazisha goli hilo ambapo waliweza kukosa nafasi nyingi za wazi.Kipindi cha pili kilianza Kiluvya wakisaka goli la kusawazisha ambapo mpaka dakika 90 zinamalizika Manzese walifanikiwa kushinda goli 1-0 na kuwa mabingwa wapya wa Ndondo Cup.
Mgeni rasmi wa mashindano Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shoza aliweza kukabidhi kombe kwa mabingwa wapya wa Ndondo Cup akiwa ameambataba na viongozi mbalimbali Nchini.
Fainali hiyo ya kipekee ilihudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Mbunge wa Iramba Mashariki Mwingulu Nchemba aliyekabidhi hundi ya Milioni 10 kwa mabingwa, Mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea, Mkuu wa Wilaya Temeke Felox Lyaniva, Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu, Rais wa TFF Wallace Karia na Mwenyekiti wa DRFA Almas Kasongo.
Mbali na hao pia Manzese waliwakilishwa na Meya wa Jimbo la Ubungo Boniface Jacob na wasanii wanaoishi kwenyr jimbo hilo Akiwemo Msanii Madee na Shilole sambamba na viongozi wengine wa kimpira.

Kikosi cha Kiluvya United wakiwa katika picha ya Pamoja
Kikosi cha Manzese United wakiwa katika picha ya pamoja
Hivyo makala MANZESE UNITED MABINGWA WAPYA NDONDO CUP 2018
yaani makala yote MANZESE UNITED MABINGWA WAPYA NDONDO CUP 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MANZESE UNITED MABINGWA WAPYA NDONDO CUP 2018 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/manzese-united-mabingwa-wapya-ndondo.html
0 Response to "MANZESE UNITED MABINGWA WAPYA NDONDO CUP 2018"
Post a Comment