Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand

Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand
kiungo : Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand

soma pia


Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand


Usemi kwamba ‘Elimu haina mwisho’ umedhihirika baada ya ajuza wa miaka 91 Kimlan Jinakul kuhitimu masomo yake ya Shahada katika Chuo cha Sukhothai Thammathirat, Thailand baada ya kuihangaikia kwa miaka 10.Taarifa zinaeleza kuwa Kimlan Jinakul alikuwa anatamani kusoma na kufika elimu ya juu tangu akiwa mtoto lakini hakufanikiwa ambapo hata baada ya kuolewa na kuwa na familia aliamua kusomesha watoto wake kwanza hadi ngazi ya Chuo Kikuu na baada ya wao kuhitimu ndipo alipoamua naye kujiunga pia Chuo Kikuu.Watoto wake wanne kati ya watano wana Shahada za Uzamili na mmoja amefanikiwa kupata PhD nchini Marekani.
Kimlan alikuwa na umri wa miaka 72 alipojiunga Chuo Kikuu lakini kufuatia kifo cha moja wa mabinti zake aliacha masomo kwa miaka kadha kabla ya kujiunga tena na Chuo akiwa na miaka 85 ili kuendelea na masomo.



Hivyo makala Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand

yaani makala yote Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/kikongwe-wa-miaka-91-kahitimu-shahada.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kikongwe wa miaka 91 kahitimu Shahada ya kwanza, Thailand"

Post a Comment