title : Alichokisema Uhuru Kenyatta baada ya kutangazwa mshindi
kiungo : Alichokisema Uhuru Kenyatta baada ya kutangazwa mshindi
Alichokisema Uhuru Kenyatta baada ya kutangazwa mshindi
Muda mfupi baada ya kutangazwa mshinda na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya uliofanyika Jumanne August 8, 2017 kwa kupata kura 8,203,290 dhidi ya kura 6,762,224 za Raila Odinga, Uhuru Kenyatta amempongeza mpinzani wake huyo.
Kenyatta ambaye anarudi kwenye uongozi kwa muhula wa pili amempongeza mgombea Raila Odinga akisema katika kila mashindano lazima apatikane mshindi na aliyeshindwa huku akisisitiza umoja ili kuijenga Kenya huku akiahidi kuwahudumia Wakenya wote waliomchagua na wasiomchagua.
Hivyo makala Alichokisema Uhuru Kenyatta baada ya kutangazwa mshindi
yaani makala yote Alichokisema Uhuru Kenyatta baada ya kutangazwa mshindi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Alichokisema Uhuru Kenyatta baada ya kutangazwa mshindi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/alichokisema-uhuru-kenyatta-baada-ya.html
0 Response to "Alichokisema Uhuru Kenyatta baada ya kutangazwa mshindi"
Post a Comment