HABARI ZA MAHAKAMANI KUTOKA IRINGA, ABDUL NONDO AKUTWA NA KESI YA KUJIBU.

HABARI ZA MAHAKAMANI KUTOKA IRINGA, ABDUL NONDO AKUTWA NA KESI YA KUJIBU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HABARI ZA MAHAKAMANI KUTOKA IRINGA, ABDUL NONDO AKUTWA NA KESI YA KUJIBU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HABARI ZA MAHAKAMANI KUTOKA IRINGA, ABDUL NONDO AKUTWA NA KESI YA KUJIBU.
kiungo : HABARI ZA MAHAKAMANI KUTOKA IRINGA, ABDUL NONDO AKUTWA NA KESI YA KUJIBU.

soma pia


HABARI ZA MAHAKAMANI KUTOKA IRINGA, ABDUL NONDO AKUTWA NA KESI YA KUJIBU.



Mwambawahabari
Mahakama ya Mkoa wa Iringa Leo imetoa uamuzi juu ya kesi ya Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi Tanzania (TSNP) Abdul Nondo kuwa mshitakiwa huyo,ana kesi ya kujibu na hivyo anatakiwa kupeleka mashahidi kwa ajili ya kujitetea.
Hakimu mfawidhi wa mahakama ya mkoa wa Iringa Liad Chamshana amesema kuwa Nondo amekutwa na hatia kutokana na maelezo yake aliyotoa polisi kuwa alitekwa .
Awali Nondo, alifikishwa mahakamani hapo akiwa anakabiliwa na mashtaka mawili ambapo,shtaka la kwanza ni kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni Machi 7, 2018 akiwa eneo la Ubungo Dar es Salaam na kuzisambaza kupitia mtandao wa kijamii wa Whatsapp kwamba yupo hatarini.
Katika shtaka la pili, wakili huyo amesema Nondo ametoa taarifa za uongo kwa mtumishi wa umma Mafinga alipokuwa anatoa taarifa kwa askari kwenye Kituo cha Polisi Mafinga kwa kusema kuwa alitekwa na watu wasiojulikana kutoka Dar es Salaam na kupelekwa kiwanda cha Pareto Mafinga.
Katika kesi hiyo Nondo anatetewa na mawakili wawili wakiongozwa na Jebra kambole chini ya mtandao wa watetezi wa haki za binadamu nchini (THRDC)


Hivyo makala HABARI ZA MAHAKAMANI KUTOKA IRINGA, ABDUL NONDO AKUTWA NA KESI YA KUJIBU.

yaani makala yote HABARI ZA MAHAKAMANI KUTOKA IRINGA, ABDUL NONDO AKUTWA NA KESI YA KUJIBU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HABARI ZA MAHAKAMANI KUTOKA IRINGA, ABDUL NONDO AKUTWA NA KESI YA KUJIBU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/habari-za-mahakamani-kutoka-iringa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HABARI ZA MAHAKAMANI KUTOKA IRINGA, ABDUL NONDO AKUTWA NA KESI YA KUJIBU."

Post a Comment